Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Polisi wamuite awape msaada wa kuwafahamu hao viongozi
 
Unazungumzia Rais yupi wa kuchagua maneno ya kuongea? huyuhuyu tulienae,hakuna kitu huyu.
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
kama haya maneno yamesemwa na padri basi huyo padri sio mtakatifu bali ni mtakavitu
 
Hawa viongozi wa dini Uchwa,JPM alikuwa anawanyang'a Pasport.
 
Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Hakuna muislamu anaefurahia utekaji, Mimi ni muislamu kama wewe lakini naumizwa nawatu kutekwa na kuuliwa, kisha Serikali inajifanya haijui.
 
Ndo maana tunamtaka waziri wa mambo ya ndani aondoke.
Sasa kumkumbatia kwake yamezua mengine. Mwisho wa siku amepanic na kuonekana kituko
 
Lakini kumbuka pia wapo Mapadre wa RC ni wanateka na kuua, kama yule Padre aliyeshiriki kumteka Albino na kumua mtoto mdogo asiyekuwa na ubaya wowote. Hivyo usigeneralize tu.
Yuko magereza tunataka na hao wauwaji wafikishwe mahakani kama huyo padre
 
Usemalo huko sahihi shida yetu ni wafikishwe mahakamani hao watekaji, hata walioko magereza wanalalamika kwanini ni sisi tu mbona hao wauwaji na watekaji serikali inawafumbia macho.
 
Usemalo huko sahihi shida yetu ni wafikishwe mahakamani hao watekaji, hata walioko magereza wanalalamika kwanini ni sisi tu mbona hao wauwaji na watekaji serikali inawafumbia macho.
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…