Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mnoooo lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnoooo lo
Unazungumzia Rais yupi wa kuchagua maneno ya kuongea? huyuhuyu tulienae,hakuna kitu huyu.Yuko sahihi huyo Padre, kwa sababu kauli zao hao viongozi zinathibitisha kuhusu suala hili.
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
kama haya maneno yamesemwa na padri basi huyo padri sio mtakatifu bali ni mtakavituSikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Hakuna muislamu anaefurahia utekaji, Mimi ni muislamu kama wewe lakini naumizwa nawatu kutekwa na kuuliwa, kisha Serikali inajifanya haijui.Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Hivi huyu Samia bado hajaGO tu?SAMIA MUST GO!
Upeo wa mtanzania wa kawaida a.k.a mnyongeWakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
Hapo kwenye bold ALIEPIGWA..Nimempa jibu zuri pia.
Kuwa Tundu lisu aliekapigwa Risasi si mkristo mwenzao,why wakaupiga kimya enzi za Mwendazake??Uoga Tuuuh....
Huyo ni mtekaji mwenyewe.Ni ujinga kuwakatisha tamaa viongozi wa dini wanaohoji usalama wa wananchi. Vijana wa leo mnapata wapi akili hizi hafifu?
Yuko magereza tunataka na hao wauwaji wafikishwe mahakani kama huyo padreLakini kumbuka pia wapo Mapadre wa RC ni wanateka na kuua, kama yule Padre aliyeshiriki kumteka Albino na kumua mtoto mdogo asiyekuwa na ubaya wowote. Hivyo usigeneralize tu.
Chukua tahadhari.Utazeeka na kaujinga.Kama wanatumika na mabeberu nao wembe ni ule ule,,,,DRC walishaonyesha njia na wakaufyata hizi zama sio za kuwaendekeza vibaraka wa wazungu
Usemalo huko sahihi shida yetu ni wafikishwe mahakamani hao watekaji, hata walioko magereza wanalalamika kwanini ni sisi tu mbona hao wauwaji na watekaji serikali inawafumbia macho.Mungu yupi? Hata Padre aliyeshiriki kumchinja Albino alikuwa kila Jumapili anahubiri kanisani kama huyo Padre anayeongea hapo Radio Tumaini kwa hiyo usiwaamini sana binadamu hasa hao wanajiona ni wasafi sana na kunyooshea wenzao kumbe ni shetani wakubwa!
Kanisa moja Takatifu Katoliki DunianiLove Catholic Church...
Chuki ipo wap hapo. Kulinda kwa gharama yoyote unajua maana yake?Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.
SahihiUsemalo huko sahihi shida yetu ni wafikishwe mahakamani hao watekaji, hata walioko magereza wanalalamika kwanini ni sisi tu mbona hao wauwaji na watekaji serikali inawafumbia macho.
Wajinga hawawezi kuwaza jambo lolote nje ya imani za kidini.Wakristo kwa chuki ndo zao,hapo matamko yatakuwa ni kila siku,chukueni time zenu.