Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
Mungu gan tena?? . .... ..POPE maana yake n baba mtakatifu yaan (mungu wa wakatoliki wote)...nimetoka milembe juz sjamaliza doziHatuwezi kufanya mambo ya Kimungu kwa kukurupuka kama hivi,Kanisa Katoliki mpaka sasa lina sala maalumu kwa ajili ya kuomba muunganiko uliokuwepo zamani urudi kuwe na Kanisa moja sasa tukisema tena wajitenge waanzishe lingine itakuwa ni kuzidi kugawa imani.
Kila kitu kina muda wake personally naungoja muda wa Mungu ufanye kitu kwa huyu Papa maana amekengeuka sana sana sana yaani amezidi,naamini hili litapita salama.