Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

Huyu papa inaelekea alishapelekewa moto akakolea!!!,,,,,,pumbavu sana
 
Papa Benedict ndio papa msomi kuliko wote alikataa kukinajisi kitu Cha mtume Petrol kwa kujiuzulu akizugia ugonjwa kuliko kuliweka kanisa chini ya Masonic.
Aliona amtii Mungu kuliko mwanadamu.
Unayemsema hajafa bado , nayeye aliamua kutumia jina la papa wakale benedict

Mzima wa afya anaendelea kujisomea vitabu vyake kama alivoahidi baada ya kijiuzuru atakuwa anafanya nini

Akajibu ,kusoma vitabu
 
Sisi tunao mwabudu Mungu ktk roho na Kweli hatuwezi kuhama Kanisa Katoliki, kisa madhaifu ya Kiongozi wetu wa dini tutasimama imara ktk Imani kumuombea Papa Francis ktk Utume wake.Km hiyo ishu ni Kweli ni sahihi kwa Padre huyo kufukuzwa kwani hilo ni kosa kwa mujibu ya Sheria ya Kanisa Katoliki (Canon Law).

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mzigo mzito sana.Siku ukiacha upoyoyo utaelewa ninachokwambia.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,wasamehe tu Maana hawajui walisemalo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Unayemsema hajafa bado , nayeye aliamua kutumia jina la papa wakale benedict

Mzima wa afya anaendelea kujisomea vitabu vyake kama alivoahidi baada ya kijiuzuru atakuwa anafanya nini

Akajibu ,kusoma vitabu
Aliyefariki mwaka jana
 
Shukrani sana mkuu.

Mungu akurehemu lakini zingatia sana nilichokuambia kwenye post yangu ya kwanza kwako,kuna kitu umekikosa ktk ufahamu wako kama binadamu omba na hicho upewe maana Mungu siyo mchoyo.
Huyo ana kiburi cha uzima, hawa ndio wanajiita wapwa zake Yesu! Utakesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…