Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo.

Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa 16. Alienda mbali zaidi na kusema kwamba Papa Benedicto ndie alikua papa wa kweli lkn huyu wa sasa ni 'Antipope and masonic jesuit'

Ikumbukwe pia wakuu kadhaa ndani ya roman catholic walitumia siku ya trh 31 ambayo ni kumbukumbu ya kifo cha papa benedicto wa 16 kutoa yao ya moyoni dhidi ya uendeshaji potofu wa papa francis wakiwemo makardinali wawili waliokua karibu sana na papa benedicto wa 16

Soma zaidi hapa Italian priest excommunicated for slandering Pope Francis during Mass

Maoni yangu, mapadri, maaskofu wote wanaofukuzwa wafungue kanisa jipya ambalo litafuata kanuni za conservative catholics lkn tu lisimtambue papa kama walivyofanya orthodox, wakifungua hilo kanisa mimi nitakua muumini wa kwanza hapa Tanzania, huyu papa wa sasa 'Tumepigwa'
Huyu papa inaelekea alishapelekewa moto akakolea!!!,,,,,,pumbavu sana
 
Papa Benedict ndio papa msomi kuliko wote alikataa kukinajisi kitu Cha mtume Petrol kwa kujiuzulu akizugia ugonjwa kuliko kuliweka kanisa chini ya Masonic.
Aliona amtii Mungu kuliko mwanadamu.
Unayemsema hajafa bado , nayeye aliamua kutumia jina la papa wakale benedict

Mzima wa afya anaendelea kujisomea vitabu vyake kama alivoahidi baada ya kijiuzuru atakuwa anafanya nini

Akajibu ,kusoma vitabu
 
Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo.

Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa 16. Alienda mbali zaidi na kusema kwamba Papa Benedicto ndie alikua papa wa kweli lkn huyu wa sasa ni 'Antipope and masonic jesuit'

Ikumbukwe pia wakuu kadhaa ndani ya roman catholic walitumia siku ya trh 31 ambayo ni kumbukumbu ya kifo cha papa benedicto wa 16 kutoa yao ya moyoni dhidi ya uendeshaji potofu wa papa francis wakiwemo makardinali wawili waliokua karibu sana na papa benedicto wa 16

Soma zaidi hapa Italian priest excommunicated for slandering Pope Francis during Mass

Maoni yangu, mapadri, maaskofu wote wanaofukuzwa wafungue kanisa jipya ambalo litafuata kanuni za conservative catholics lkn tu lisimtambue papa kama walivyofanya orthodox, wakifungua hilo kanisa mimi nitakua muumini wa kwanza hapa Tanzania, huyu papa wa sasa 'Tumepigwa'
Sisi tunao mwabudu Mungu ktk roho na Kweli hatuwezi kuhama Kanisa Katoliki, kisa madhaifu ya Kiongozi wetu wa dini tutasimama imara ktk Imani kumuombea Papa Francis ktk Utume wake.Km hiyo ishu ni Kweli ni sahihi kwa Padre huyo kufukuzwa kwani hilo ni kosa kwa mujibu ya Sheria ya Kanisa Katoliki (Canon Law).

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
kanisa la roma haliwezi kuwa chini ya masonic kwan ndilo mmiliki halali wa masonic iluminant na jesuits ......[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji38][emoji16][emoji1][emoji2].....kiukwel iko hivi papa hawezi kujiamulia tuu na kujifanyia mambo pale vatican...anachokisema ndyo maamuzi halisi ya taasis ya kikatoliki....yaan katoliki iĺivonamfumo imara vile ety papa akurupuke tuu from nowhere kwel jaman wakatoliki wenzangu wa buza tujiulize mara2[emoji28][emoji1787][emoji23]......n swal la muda tuu katoliki sio tuu itabariki bali kufunģisha kabisa ndòa za jinsia moja ...narudia n swala la muda tuu....itaua mamilion kama ilivoua karne ya 16 17 na 18 by mm nabii mlokole
Ujinga mzigo mzito sana.Siku ukiacha upoyoyo utaelewa ninachokwambia.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Lakini ndiyo watu wema wengi wetu wa 60,70&80s tumezaliwa kwenye hospital zao kuwaje wasitufanyie hayo mambo ya kishetani?

Mkristo yeyote hupaswi kumuona binadamu mwenzako kama kichaka cha shetani cha kufanya muombee arudi kwa Mungu unaemuamini wewe hao unaowaona hapa shetani wao wanakuombea wewe heri usiwe mwepesi kuhukumu.
Mkuu,wasamehe tu Maana hawajui walisemalo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Unayemsema hajafa bado , nayeye aliamua kutumia jina la papa wakale benedict

Mzima wa afya anaendelea kujisomea vitabu vyake kama alivoahidi baada ya kijiuzuru atakuwa anafanya nini

Akajibu ,kusoma vitabu
Aliyefariki mwaka jana
 
Shukrani sana mkuu.

Mungu akurehemu lakini zingatia sana nilichokuambia kwenye post yangu ya kwanza kwako,kuna kitu umekikosa ktk ufahamu wako kama binadamu omba na hicho upewe maana Mungu siyo mchoyo.
Huyo ana kiburi cha uzima, hawa ndio wanajiita wapwa zake Yesu! Utakesha
 
Back
Top Bottom