BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Papa anaupiga mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa Katoliki ni lilelile - kamwe haliwezi kuruhusu ushoga.Washaharibu hata maana
La kwako.Lililobariki ushoga ni lipi?
Inasikitisha because aina ya baraka iliyotolewa siyo hii unayotaka tuiaminiRoman Catholic imekua comedy sasa.
Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka.
Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba walivyoutelekeza mwili airport na akaenda kuzikwa na katekista japo mzee wake na ruge ni mkatoliki safi na ana mchango mkubwa sana parokiani.
Leo hii huyohuyo padre asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki aliefariki akiwa kwenye uchumba anaruhusiwa kuwabariki mashoga wakitaka baraka.
Hiki ni kichekesho cha karne, Papa na uongozi wa Roma kiukweli mmeonyesha namna tulivyo wa-overestimate, it all looks like a fraud now.
Sasa wewe na akili zako, unajisalimisha Kwa mizimu?Usiwe kilaza nimesema
1. Silimu au
2.rudi kwenye dini za asili
Hoja yako nzito sana. Sanaa.Roman Catholic imekua comedy sasa.
Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka.
Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba walivyoutelekeza mwili airport na akaenda kuzikwa na katekista japo mzee wake na ruge ni mkatoliki safi na ana mchango mkubwa sana parokiani.
Leo hii huyohuyo padre asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki aliefariki akiwa kwenye uchumba anaruhusiwa kuwabariki mashoga wakitaka baraka.
Hiki ni kichekesho cha karne, Papa na uongozi wa Roma kiukweli mmeonyesha namna tulivyo wa-overestimate, it all looks like a fraud now.
Dawa ni
1. Kusilimu.
2. Kurudi kwenye dini zenu za asili
Dini ,Mungu ni fix tu.Tulishawambia Dini ni utapeli,
Ishi na watu vizuri hio ndio dini
Soon wataanza kuelewa kidogo kidogoDini ,Mungu ni fix tu.
Kwanini wakuzike wakati hutaki kushirikiana nao kwenye mambo ya Kanisa?wee acha tu!! eti ata kama m2 haendi jumuia hazikwi!!
hamna lolote,wao wanachoangalia ni maokoto tu!!!!,,,mbona mapadre hawaeindi jumuia,,wanajua jumuia zikizorota watakosa ela ya bia,,,huwezi kuikomoa maiti manake haina fahamu,,,na mwisho wa siku MUNGU anaangalia matendo,,mbona wenzetu waislam ata kama m2 haendi msikitini lakini wanajua kiasili jamaa ni muislam wanamzika,,ata akiwa teja waislam wanamzika,,,waislam wastaarabu sana na hawana mambo mengi ata harusi yao,,,,wanaweza wakatengenezewa chai na maandazi na harusi ikafanyika bila shida ili mradi wamwepushe mwenzao na ZINAA!!!Kwanini wakuzike wakati hutaki kushirikiana nao kwenye mambo ya Kanisa?