Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

Roman Catholic imekua comedy sasa.

Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka.

Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba walivyoutelekeza mwili airport na akaenda kuzikwa na katekista japo mzee wake na ruge ni mkatoliki safi na ana mchango mkubwa sana parokiani.

Leo hii huyohuyo padre asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki aliefariki akiwa kwenye uchumba anaruhusiwa kuwabariki mashoga wakitaka baraka.

Hiki ni kichekesho cha karne, Papa na uongozi wa Roma kiukweli mmeonyesha namna tulivyo wa-overestimate, it all looks like a fraud now.
Inasikitisha because aina ya baraka iliyotolewa siyo hii unayotaka tuiamini

Lakini hili ni kosa la kanisa
 
Kuna kekista mmoja huko moshi vijijini nusura achezee kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuendesha ibada ya mazishi nusu na kukataa kumalizia ibada kamili, akavua kanzu yake na wasaidizi wake. Alikataa akidai marehemu hakuwa mhudhuriaji mzuri wa ibada za kanisani na jumuiya yeye na wazazi wake. Cha ajabu marehemu alikuwa ni mtoto mdogo wa darasa la sita kitu kilichowatia waombolezaji kushikwa na hasira kwa nini katekista akatae kumalizia ibada ya mazishi ili hali mtoto mdogo hana dhambi? Wazee wenye busara walipoona moto umepamba wakamtorosha katekista fasta asipigwe. Sasa watalazimika kubariki mashoga huku wakikataa kuzika wasienda kanisani/jumuiyani, ni unafiki mtupu
 
Roman Catholic imekua comedy sasa.

Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka.

Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba walivyoutelekeza mwili airport na akaenda kuzikwa na katekista japo mzee wake na ruge ni mkatoliki safi na ana mchango mkubwa sana parokiani.

Leo hii huyohuyo padre asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki aliefariki akiwa kwenye uchumba anaruhusiwa kuwabariki mashoga wakitaka baraka.

Hiki ni kichekesho cha karne, Papa na uongozi wa Roma kiukweli mmeonyesha namna tulivyo wa-overestimate, it all looks like a fraud now.
Hoja yako nzito sana. Sanaa.
 
Kuna kekista mmoja huko moshi vijijini nusura achezee kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuendesha ibada ya mazishi nusu na kukataa kumalizia ibada kamili, akavua kanzu yake na wasaidizi wake. Alikataa akidai marehemu hakuwa mhudhuriaji mzuri wa ibada za kanisani na jumuiya yeye na wazazi wake. Cha ajabu marehemu alikuwa ni mtoto mdogo wa darasa la sita kitu kilichowatia waombolezaji kushikwa na hasira kwa nini katekista akatae kumalizia ibada ya mazishi ili hali mtoto mdogo hana dhambi? Wazee wenye busara walipoona moto umepamba wakamtorosha katekista fasta asipigwe. Sasa watalazimika kubariki mashoga huku wakikataa kuzika wasienda kanisani/jumuiyani, ni unafiki mtupu
 
Natafuta dini nyingine lkn siwezi kwenda uislam. Au kwa Mwamposya.

Ngoja nijaribu ubuda. Buddhism.
 
Hii kitu Ina impact mbaya sana miaka ya baadae kama 2030s na kuendelea ushoga utakuwa jambo la kwaida kabisa Mimi ni mkristo ila naona dunia inapoelekea itabidi wengine tuchague uislamu tu.
 
Kwanini wakuzike wakati hutaki kushirikiana nao kwenye mambo ya Kanisa?
hamna lolote,wao wanachoangalia ni maokoto tu!!!!,,,mbona mapadre hawaeindi jumuia,,wanajua jumuia zikizorota watakosa ela ya bia,,,huwezi kuikomoa maiti manake haina fahamu,,,na mwisho wa siku MUNGU anaangalia matendo,,mbona wenzetu waislam ata kama m2 haendi msikitini lakini wanajua kiasili jamaa ni muislam wanamzika,,ata akiwa teja waislam wanamzika,,,waislam wastaarabu sana na hawana mambo mengi ata harusi yao,,,,wanaweza wakatengenezewa chai na maandazi na harusi ikafanyika bila shida ili mradi wamwepushe mwenzao na ZINAA!!!
 
Back
Top Bottom