Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

Roman Catholic imekua comedy sasa.

Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka.

Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba walivyoutelekeza mwili airport na akaenda kuzikwa na katekista japo mzee wake na ruge ni mkatoliki safi na ana mchango mkubwa sana parokiani.

Leo hii huyohuyo padre asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki aliefariki akiwa kwenye uchumba anaruhusiwa kuwabariki mashoga wakitaka baraka.

Hiki ni kichekesho cha karne, Papa na uongozi wa Roma kiukweli mmeonyesha namna tulivyo wa-overestimate, it all looks like a fraud now.
Kwa hili la ushoga , kama unasali kanisa hili jitafakari mara mbili ni haibu kwa kanisa kongwe kama RC kufanya maamuzi ya namna hii
 
Back
Top Bottom