Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa hiyo kila anaekuwa katibu Mkuu TEC anapaswa kuwa Askofu au Kadinali? Acha uzwazwaWala usimtilie maanani huyo Fr. Kitima. Hata Vatican yenyewe inamchukulia poa tu ndio maana ma junior wake wamepata u-Askofu kama vile Baba Askofu Msonganzila, Baba Mfumbusa kutaja wachache.
Hapana. Ila anapewa Ukatibu wa TEC kama sehemu ya kumpunguzia machungu ya kutopewa u-Askofu. Hata Dk. Slaa aliishakua Katibu wa TEC! Ahahahahaha!Kwa hiyo kila anaekuwa katibu Mkuu TEC anapaswa kuwa Askofu au Kadinali? Acha uzwazwa
Alialikwa bila kuambiwa mwaliko ulihusu nini
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo furaha kukukaribisha
Bwana na Bibi/Bi/Prof/Dkt.
FR CHARLES KITIMA
katika Hafla Maalum itakayofanyika siku ya jumapili tarehe 22 Oktoba 2023, Ikulu Chamwino, Dodoma saa 04:00 asubuhi.
Jibu kwa: Mnikulu, Ikulu, Dodoma, Simu: +255 714 186 948
2000
Ikulu Chamwino, Dodoma
Tafadhali Njoo na Kadi Hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani ni rahisi hivyo..!!???Tena ili dhehebu lingefutwa kabisa
Makatibu wa tec kama hamnazo vile, kitima slaa,Hapana. Ila anapewa Ukatibu wa TEC kama sehemu ya kumpunguzia machungu ya kutopewa u-Askofu. Hata Dk. Slaa aliishakua Katibu wa TEC! Ahahahahaha!
Huyu rais ni mhuni sana ukiitoa ule ushungi anakuwa sawa na giggy money tu,unamwaalikaje kiongozi wa dini kihuni hivyoKatibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Dkt.Charles Kitima amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa Host Government Agreement (HGA)...
Raisi ana mambo ya kihuni sana sijui alivyokuwa bint alikuwaje ila kwa uzee huo ni uhun hasaJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo furaha kukukaribish....
Kuna Mwarabu DubaiAlifika kumwambia hii nchi itaendeshwa na mwarabu kwasasa
Nchi yenu wewe na nani?Wakaanzishe serikali Yao huko vatikan. Watuachie nchi yetu ya aman.
Sasa lipi bora PhD ya Theology au Causa mbili ya India na UDSMKwani yeye ni nani kujua siri za nchi kushinda wa Tanzania 60m......hizo phd za theology zina wanadanganya wanata kuji pima umbavu wao na "State"
Haja ons mabadiliko kimaandishi, Lakini una mapungufuKatibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Dkt.Charles Kitima amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa Host Government Agreement (HGA)...
Kama mwaliko ulitolewa kwa maandishi yaliyoonyeshwa hapa, ni dhahiri kuwa hii ni serikali ya kitapeli, inayoendeshwa na viongozi matapeli.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo furaha kukukaribish....
Hata kama angeenda huku akiwa anajua kusingekuwa na ubaya, kanisa halina ugomvi na serikali na kwenda haina maana kwamba umekubaliana na hicho kituSahihi, hata kadi ya mwaliko iko bayana
Vitusho tu hivyo, hamna jipya kwa sasa. Zama za propaganda zimeisha.Roma locuta, causa finita est....
Roman Catholic inachukuliwa poa, lakini ni kanisa ambalo liko makini na halijawahi kukurupuka.