Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Sio wa jeshi letu aisee hiyo camouflage ya Sudan afu ni honorarium hiyo sio chaplain (aisee haya ni mawazo yangu lakini)
Nadhani Military Ordinariates wana sare zao tofauti. Ni maoni yangu tu pia. Cuz hata camouflage za JKU, KVZ, JKT, JWTZ na wale jamaa Presidential hazifanani.
 
Inawezekana tena hawa hutumiwa vizuri kabisa na serikali kwenye mambo ya unaa kwakuwa hawana family
***** huwa ni wanoko sana na hawana huruma, nimesoma shule ya dini kuna mpuuzi alikuwa anatuzingua sana bila huruma

Fikiria anakupa adhabu ya kukaa nje tena usiku alafu anakuja kukuchungulia kila mara kama bado upo palepale
 
Haaaaa Haaaaa 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapenda story sana.. Kuna mtu huku.. Nahisi alisikia mahali wanasema Pope Francis ni Jesuit Father [emoji23] anaambiwa watu hata papa ni jasusi
Kuna siku nipo buguruni kwa madenge nikaona watu wametulia barabarani wanaangalia katv....
Bwana kuna anashusha hizo nondo za u'jesuit .
Yani full ujinga.
Nikawauliza anaishi wapi wakanionesha,
Nikasema ujinga ni mzigo😄
 
Kuna siku nipo buguruni kwa madenge nikaona watu wametulia barabarani wanaangalia katv....
Bwana kuna anashusha hizo nondo za u'jesuit .
Yani full ujinga.
Nikawauliza anaishi wapi wakanionesha,
Nikasema ujinga ni mzigo[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…