Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Kuna brother wa kitaa Sengerema anaitwa Bosco Mosha (Maneno anaifahamu hii familia), kwasasa yupo Glasgow kule group la home huyu Padre ni classmate wake alisoma naye Uru Seminary, na akiwa Padre kabatiza watoto wa Bosco. Kweli ni Padre wa hilo shirika linalotajwa, sio Padre wa jimbo (kwa wakatoliki wanajua tofauti). Shirika lake lilimtuma South Sudan kutoa huduma ya kiroho na kule aliingizwa SPLA (Jeshi la Ukombozi la Sudani Kusini) na Garang. Then alipata basic training na kuwa Chaplain (mhudumu kiroho) kwenye Jeshi la South Sudan, vyeo hivyo alipandishwa hukohuko South Sudan, hopefully tunafahamu upandishwaji wa vyeo kwa SPLA ulikuwa wa mtindo gani, very politically kwa interest tofauti. Kwa taarifa za brother Bosco hata hizo uniform ni za South Sudan (SPLA). Ila hana uhakika wa cheo cha Meja, sio Komando ila anapenda kucheza Karate na Kung-fu kama part ya mchezo na kujiweka fit, kilichozua mjadala ni andishi la kipotoshaji la Malisa...😄😄
Ndugu Yangu Tuendelee Kulipa Tozo,Haya Ya Huyu Padri Hayaipeleki Tanzania Yetu Popote 😂
 
Najua mashirika mawili tofauti ila hapo AJ ni kivuli tu Kila shirika Lina kazi zake
Acha stori za vijiweni huyo padri AJ anasoma. Anachofanya jeshini soma hapa
Na hata ukienda nchi nyingine kama kenya wapo mapadri wa majimbo hivyo vidocumentary na story mnazopeana kuhusu jesuits ni matango pori.
I know work with them and entire church.
 
Hana mke na watoto wa kuwahudumia kwa hiyo sioni ajabu hapo. Mwanaume ukiwa huna watoto au mahusiano yoyote ya kimapenzi na wanawake hadi umri huo you can stay focused and achieve a lot in life.
 
... kwa hiyo huo ukamondoo na cheo cha kijeshi (major) anaodaiwa kuwa navyo sio vyao kweli?
Si kweli chief ... miiko ya kipadri ni ngumu mtu kama huyo kufungwa na taasisi nyingine kama jeshi la wananchi Tz
 
Hivi amesomaje upadri akawa mwanajeshi
Haiingii akilini

Then akafikia cheo cha Maj
 
Vatcan ni serikai kamaili yenye majajusi wake na idara ya usalama, wenye utii mkubwa na uwezo wa kuibadilikia hata inchi aliyo zaliwa,ni taasisi tajili yenye kumiliki ardhi na miradi Duniani kote,watu wao wa usalama ni pamoja na hao,kuhakikisha hakuna mali wala fedha na heshima yao inanyakuliwa na mtu yoyote au taifa lolote.

Wasimuamini sana
Wamwamini nani? Wakati wengine ni biriani na wali mweupe?. Ishike elimu ili isije ikaenda zake si kuitafuta na tochi mpaka China.
 
Akina Kingai, Mahita, Jumanne, Sirro, Goodluck wakisikia sehemu kuna komandoo wanajua ni gaidi
 
Mmmh kwenye ukomando natia shaka
Jibu ndio Hilo ni mwongozaji wa kikosi
IMG_20211205_004103.jpg
 
Wana Jamii From!

Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu!

Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo??

Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture!

Jeshini kuna mashehe?
 
Back
Top Bottom