Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Huo ndo ujinga wetu, Kila anapokuwa kiongozi mwislamu ni shida akikosolewa tu, hamlali VP magufuli aliyeandikiwa waraka karibu dini zote katholiki, KKT, ANGLIKAN na Shula ya maimam mambo yalikuaje, Kuna Wakristo walilalamika
 
Anza upya. Hiki ulichoandika Hapa ni ujinga mkubwa
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu

😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu uko mbali sana, hujamuelewa kabisa huyo Kitimacna genge lake. Kibao ametajwa kukutega wewe hapo na kukunasa....ukweli ni kwamba hata hamfikirii huyo kibao na hilo hata sio lengo lake kuu
 
Embu mwambie mwenzio muende kwanza shule mjifunze kusoma na kuandika kisha mkasafishwe hivyo vinyeo vyenu kwanza mtutolee laana kwenye hii nchi.
Lazima utakuwa inaliwa tako si bure
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu

Wewe utakuwa ni mwehu! Yaani ukawashtaki kwa polisi wauaji waliotumwa na mwenye mamlaka!! Una akili wewe kweli!! Hopeless
 
Lioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya

Wewe mwendawazimu kmuuaji , kwa sababu umekwishaua watu makumi, na bado unadunda mtaani, usiamini ni mshindi wa dama. Kinachoshinda daima ni haki, siyo uovu. Siku zaja utayakumbuka maneno haya, itakuwa too late.
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima

Muelewe kwanini Catholic Church ni Big Institutional. MTAMBUE recruitement ya Catholic sio ya Form 4 failures. Those people are taking the best student .Sio kama mtu Lucas au tlatlah ambao kichwani mwao wamejaza matakataka na mikojo.

Nchi imekuwa ya Kipumbavu watu wanasifu sifu huku wengine wanakufa na kuumia: mtu akiongea ukweli mnakuja na defensive mechanism ya Ooh sijui udini na uislam….uislam
Au ukiristu umeikuta TANZANIA.Tanganyokq was there before Islam and Christianity .mambo yenu ya uislam
Na ukiristu peleken kwa mabwana zenu….. tunataka Tanzania yenye aman ya kweli.

Catholic Church ni the best and was made to lead . I can guarantee RC ndio church ya pure lord
Hayo mengine na hao wengine wanaosema watu wakatwe vichwa is another work of devil

Hakika mtoto wako anasoma kwenye misingi ya kikatolic , hawezi kuwa mjinga kama Lucas .Ni bora Usizae kuliko kupata mtoto kama Lucas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…