Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Serikali si zaidi ya Mungu muumba.Cha msingi ni kuwa makini unapo tafuta ugomvi na serikali (you don’t know their reaction).
Hayo mengine sio shida zangu, kama uelewi lugha una uhuru wa kudharau.
,
Lakini mimi sikuandika kimombo kumfurahisha ‘Stephen Fry’ not sure you will even get sarcasm (google Stephen Fry English language, it might help you to appreciate the sarcasm).
Kifo chake watu walifunguwa 🍾, 🍷 savannah, gongo, MBEGE....Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Mjinga sana huyo jamaa.Nani "alitafuta ugomvi na serikali"?
Serikali ni mdudu gani..., hiyo serikali ni ya nini kwanza?
Wakati mwingine huwa unaandika mambo bila ya kuyatafakari vizuri kwanza.
Kutafuta ugomvi na serikali? Kwa hiyo serikali inayo haki ya kuvunja sheria wakati wa kushiriki ugomvi?
Sijasoma hayo uliyo andika huko mwanzo, lakini maandishi yako hapa tu yanaonyesha tabia ile ile ya kukurupuka tu, kama ulivyo zoea.
Yeye ndiye chanzo cha yote.Kifo chake watu walifunguwa 🍾, 🍷 savannah, gongo, MBEGE....
Walifanya sherehe kubwa kuliko!
Haya sasa! Na bado wanamsema marehemu?!
Karma is a bad thing...
Kwani CCM ni nani. Unayo akili timamu kweli wewe?Acha kuhamisha mada.
Kwenye hili lazima CCM anahusika.
Kwa kufanya wao moja kwa moja, au kutuma watu wengine ikiwemo askari polisi wapumbavu pumbavu.
Kama ni kweli, hiyo ni kazi ya majambazi wa Mama!
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe padre Kitima ni katibu wa TEC kanisa katoliki Tanzania.
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Ukimsikiliza yule mkwe matamshi na kufoka kwake mpaka unachoka.Ubaya Wa utawala Wa mama Wanafurahia vitendo viovu...Ni muda mrefu viongozi Wa CCM wanatoa matamshi hatarashi Kwa wananchi..YA kudai kuwa wanauwezo Wa kuua Na kutumia kinga YA chama..
Tulipofikia kiongozi Wa CCM anaweza kuua Na asichukuliwe hatua kisa Ni CCM..wengi washatoa vitisho Na hakuna aliyekamatwa pamoja Na ushahidi kuwepo
Kuna watu Wana mhujumu mama
Tanzania tunaelekea kuwa kama Iraq enzi za Sadamu
Mtoto wake alikuwa anaweza akajeruhi raia Na hakuna Sheria ilivyokuwa inamkanya
The same Kwa CCM...kiongozi Wa CCM Kwa Sasa ana kinga YA chama Kwa makosa Yoyote Yale....sad
Hivi ccm kama wanajiamini wanapendwa si watulie kwani shida iko wapi??
"Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya "
Ameandika hivyo Maria Sarungi kupitia mtandao wa X.
Ikumbukwe padre Kitima ni katibu wa TEC kanisa katoliki Tanzania.
Kama hizi ni taarifa za kweli, ni nini hatima ya hali hii inayoendelea nchini?
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
View attachment 3321209
View attachment 3321207
Huwezi kujifanyia mambo tu kwenye nchi sheria za usajill wa jumuiya inasemaje? Kuhusu mipaka ya taasisi za dini?Nani "alitafuta ugomvi na serikali"?
Serikali ni mdudu gani..., hiyo serikali ni ya nini kwanza?
Wakati mwingine huwa unaandika mambo bila ya kuyatafakari vizuri kwanza.
Kutafuta ugomvi na serikali? Kwa hiyo serikali inayo haki ya kuvunja sheria wakati wa kushiriki ugomvi?
Sijasoma hayo uliyo andika huko mwanzo, lakini maandishi yako hapa tu yanaonyesha tabia ile ile ya kukurupuka tu, kama ulivyo zoea.
CCM CCM CCM.IKwani CCM ni nani. Unayo akili timamu kweli wewe?
Sasa mambo yanazidi kuwa wazi zaidi, kuliko yalivyokuwa yamejifunika, na tutaona jinsi hali itakavyoendelea kuwa na huu udanganyifu wenu wa kujipitisha ndani ya CCM.
Unafiki wote sasa utatoka nje waziwazi, hata wajinga wataona kinachotokea.
Mungu aingilie katiSerikali si zaidi ya Mungu muumba.
Kama mnajidanganya hivyo mnafanya upumbavu mkubwa sana, na muda si mrefu Mungu atawalipa.
Jk kikwete usimuweke hapo nadhani umenielewaa,J.Kikwete, Warioba, Msekwa na wazee wengine.
Kweli mpo tu mnaona haya yanatokea?.
Nashauri tufute kumbukizi ya hayati J.K Nyerere, maana mnasema tunamuenzi wakati tunamtukana.
Ona kenge hii, unawezaje kumlaumu marehemu Kwa huu ujinga unaoendelea? Hawa waliopo Kwa nn waendeleze jambo ambalo ni baya ktk nchi, na badala ya kuwaelekezea lawama unahangaika na mtu asieweza kujitetea!Tumefikia hatua ya kuona kuwa kutekana, kuuana na kufunguliana kesi nzito nzito za uongo kuwa ni kawaida.
Hayati Magufuli alaumiwe milele.
Yeye ndiye amefanya tufike hapa.
Mungu yupo karibu kuliponya taifa.
Huyo ni K' mpumbavu kabisaNani "alitafuta ugomvi na serikali"?
Serikali ni mdudu gani..., hiyo serikali ni ya nini kwanza?
Wakati mwingine huwa unaandika mambo bila ya kuyatafakari vizuri kwanza.
Kutafuta ugomvi na serikali? Kwa hiyo serikali inayo haki ya kuvunja sheria wakati wa kushiriki ugomvi?
Sijasoma hayo uliyo andika huko mwanzo, lakini maandishi yako hapa tu yanaonyesha tabia ile ile ya kukurupuka tu, kama ulivyo zoea.
Setting agenda, watu wanasema no reforms no election huwez jua kipindi hiki mpak October tutashuhudia mangapiKuna mipaka ya uzushi jamani!! Kuwahusisha watu au taasisi Fulani bila ushahidi ni hatari Kwa jamii. Hizi ni tetesi tu, hivyo kuibebesha serikali lawama Kwa tukio ambalo halijathibitishwa ni ushahidi wa namna baadhi ya watu mlivyo tayari kutumia Kila jambo kama silaha ya kisiasa. Tusiwe Taifa la hisia, Bali la hoja.
Nani kasema serikali ni kubwa kushinda muumba, asilimia kubwa ya viongozi ni waumini wa dini tofauti ni watu wanao amini heavenly powers.Serikali si zaidi ya Mungu muumba.
Kama mnajidanganya hivyo mnafanya upumbavu mkubwa sana, na muda si mrefu Mungu atawalipa.
Angesema kitu kuhusu mambo yanayoendelea, lissu muhaini m?? Watu wanapigwa kuhudhuria kesi, tangu nakua niliona watu wanaenda kusikiliza kesi so kama wanajiamini kwa nn watumie nguvu? Mm sio mwanasiasa ila kwa haya mambo inaonekana ccm haijiamini, ni swala la muda tuu.Nitakua mtu wa mwisho kuamini kua Samia kawatuma watu wakamshambulie father nadhan mama anahujumiwa tujipe muda,