Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Wewe nawe na huyo jpm wako!

Jitu lilikuwa katili kuliko hata shetani wewe kila uzi unajaribu kulisafisha.

Uovu wa wapuuzi wengine hauhalalishi uovu alioufanya jiwe
Mkatili kwako kwa sababu ulikuwa ama mwizi wa mali ya umma, vyeti feki au shoga hao ndio maadui wa kubwa wa JPM kwa sababu aliwashughulikia ipasavyo!
 
JPM alipomaliza na wapînzani akahamia kwa kina kinana nape na makamba
Hii nchi viongozi wanafanya mambo ya ajabu sana.

Kuna boundaries ambazo hawakutakiwa kuzi cross.

Hii itawaletea shida sana kwasababu Upadre una chain yenye watu wakubwa na wenye nguvu mno duniani.

Hao watu wakiamua kudili na wewe, huwezi kuwazuia kupitia kacheo kako ulikokapata kwa kuiba kura.
 
Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
Mahakama hii hii ya Chama cha mambuzi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kauli za kipumbuvu kutoka kwav Chawa. Actually damu ya Watanzania kwenu ni kama supu ya Utumbo au Kongoro. Mna kiu nayo sana. Hata hivyo mtaua wangapi???
 
Kuna mipaka ya uzushi jamani!! Kuwahusisha watu au taasisi Fulani bila ushahidi ni hatari Kwa jamii. Hizi ni tetesi tu, hivyo kuibebesha serikali lawama Kwa tukio ambalo halijathibitishwa ni ushahidi wa namna baadhi ya watu mlivyo tayari kutumia Kila jambo kama silaha ya kisiasa. Tusiwe Taifa la hisia, Bali la hoja.
 
Hili jambo linatakiwa likemewe,shekhe ponda alifanyiwa haya mambo kipindi hicho je BAKWATA walisema chochote? Sitegemei na Kanisa nalo likae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…