Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Ndugu yangu MAXENCE MELLO mmiliki wa JAMIIFORUM unatukosea sana JF Members. Haiwezekani tetesi zenye nia mbaya kama hizi ukaendelee kuziacha tu zikienea kwa kasi kwa mwamvuli wa JF.

@moderators ondoeni hii thread hapa jamvini
Nimejaribu kutafuta vyanzo vingine siioni habari hii
 
Halafu naona kama moja ya Kiambatisho kilichopo kwenye Uzi huu maudhui yake yanaibua Hoja nzito fikirishi. Je, Huyo Dokta Frey Edward Cossey aliyetoa comment hiyo ni nani hasa?

Je, hiyo ilikuwa ni Fore Shadowing Conspiracy? Highly probable, the answer for this question is YES.
 

Attachments

  • IMG_20250501_003738_467.jpg
    128.6 KB · Views: 22
We mmbwamchepuko TULIA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…