Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwaWakuu,
Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.
"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.
View attachment 3649900
Andiko la SSH lilijaa janja janjaNaona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa
na ni kiburi cha kipumbavuKukiri changamoto bila kuomba radhi ni kiburi.
Kukiri makosa na kuomba msamaha "publicly" au kusema "Sorry" (publicly) kwa yalotokea ni jambo la uungwana na huonyesha umestaarabika.Neno samahani litasaidia nini? Je, uhai wa watu waliopotea nani ataulipia.
Uwajibikaji pekee ndio kitu kinatakiwa.
Rais kusema samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake ni sawa na kukiri moja kwa moja kwamba watendaji wake ndiwo walioua watu kitu ambacho tangu mwanzo amekuwa akikikanusha kwa namna anayojua yeye na wanaomshauri.Wakuu,
Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.
"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.
Acha wazanzibar wapambane na zanzibar yao na tanganyika wapambane na tanganyika yao after all sio competition nan alipigwq sana na nan kalia sanaHaya mambo yalianza mbali sana na TEC hawakujiongeza!
Mauaji ya Zanzibar 2001 kipindi cha mkapa,mkapa aliomba radhi!!?haki ilitendeka!!?mlidai katiba na tume huru ya uchaguzi!!?wazanzibari sio watu!!?
TEC hawakudai katiba Wala tume huru ya uchaguzi kipindi kile cha mkapa!!
Damu Ile Ile imemwagika huku ndio TEC wanajitokeza na kukomaa!
Sasa najiuliza mlikua wapi!!?au wazanzibari hawakua watu ni wanyama!!?
Au kwasababu mkapa alikua Tanganyika mwenzetu!!?
TRUST ME NAWAAMBIENI UKWELI AMBAO WENGI HAMUUJUI
MAUAJI YA OCTOBER WAZANZIBARI WALIKUA WANALIPA KISASI NA WAMEFURAHI SANA COZ WAMEPIGWA NA KUUMIZWA KWA MIAKA MINGI SASA ILIKUA ZAMU YETU!!!
HUO NDIO UKWELI ULIOJIFICHA KABISA NA MAMA AMEWAKOSHA KWA KUTUMIA KATIBA ILE ILE NDIO MAANA ANATOA MANENO YA SHOMBO "HAKUNA CHA NYWII NYWII"
HULKA ZA WANAWAKE WENGI NI KULIPA KISASI
Hata thabit kombo juzi alilopoka bungeni kwamba askari walifuata amri halisi ndani ya utaratibu wa kawaida ya ku shoot!
Wazanzibari wametumia ubovu wa katiba kulipa kisasi!!
Kasaidie ndugu zako , acha unafiki eti unahuruma na waliokufa , ndugu zako wanakufa njaa hautaki hata kuwaona ...Mnafiki mkubwa , tuliwaambia msifanye vurugu .Mbwa takataka wewe ,kwa hiyo mtu aliyechoma kanisa ndio auawe we ***** ? Ndio sheria inasema hivyo ?