Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

Wakuu,

Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.

"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.

Samahani Kwa nani? Acha ujinga we mseja uliyekimbia majukumu ya kuwa baba.
 
Wakuu,

Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.

"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.

Yeye father Kitima ndio angepaswa
Kuwaomba radhi Watanzania
wote 👈
Sababu kashiriki kuchochea Fujo za mo29 ✍️
 
..Father Kitima ndiye aliyechochea Polisi kufanya mauaji, na kupoteza miili?

..Father Kitima ndiye aliyewachochea Polisi wakamuuwe Sharif Majini, na wananchi wengine wasiohusika na maandamano?
 
Wakuu,

Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.

"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.

Kwamba Raisi hakuwa anawasiliana na Watendaji wake...na hahusiki??!
Ni huyu Kitima au .!...Hivi aliyesema nguvu iliyotumika ilisitahili Kitima hamjui ni yupi??!
 
..Father Kitima ndiye aliyechochea Polisi kufanya mauaji, na kupoteza miili?

..Father Kitima ndiye aliyewachochea Polisi wakamuuwe Sharif Majini, na wananchi wengine wasiohusika na maandamano?

Matamko yake tunayo kabla ya Uchaguzi miezi michache nyuma yake👈

Wapo wamekufa kwa kuuwawa na Waandamanaji sio jambo geni 👈

Limetokea pale Iranian na Trump kakiri kuwapa silaha Waandamanaji ili kuchochea MOTO!

Ndiomana ile D9 na 7+7 ulinzi ulikuwa mkubwa sana
Sababu vyombo vya Usalama walikuwa na fununu kutokea kama yale ya Mo29👈

yani
Wapo Waandamanaji wenye silaha
ndiomana Polisi wakasema tunajua kunamatukio ya Kigaidi wanataka kuyafanya iyo 7+7 yakiwemo Waandamanaji kuwauwa raia wa kawaida ili kuchochea
Maandamano zaidi ✍️
 
..haombi samahani tu halafu mambo yakaishia hapo.

..serikali lazima iwalipe fidia waathirika.

Kwanza hakuna fidia kulipwa yoyote wao ndio wamechoma miundombinu ya watu Binafsi na Serikali
Kama kunadai fidia tutaanza na January 27 2001 kisha tuje mwembe chai ndipo tuje Mo29

Fidia hakuna ya upendeleo kote uko wamekufa watu kwasababu zinazofanana✅️
 
Tunaanzia Pemba kujua wangapi waliuwawa chini ya Benjamin William Mkapa

kisha tuje Unguja

mwisho mwembe Chai
Baada ya apo tuwatafute wale mmoja mmoja

mfano Shekhe Ponda kapigwa risasi ya bega bila Shaka kunamadai anayo👈

na kuna Mashekh wengi waliopitia maswaibu mbali mbali tangu enzi izo kufikia sasa✍️
 
..Naunga mkono wote walioumizwa walipwe fidia.

..Na mimi nimewahi kumsikia Tundu Lissu akiwatetea mpaka kina Abdulah Kassim Hanga, Mdungi Ussi, Azizi Twala, na wengine waliopotezwa miaka ya 60.

..Kwa hiyo nakuunga mkono kwamba hata walioumizwa Mwembechai, Unguja, Pemba, nao wanastahili kufutwa machozi, na kufidiwa.
 
Tunaanzia Pemba kujua wangapi waliuwawa chini ya Benjamin William Mkapa

kisha tuje Unguja

mwisho mwembe Chai
Baada ya apo tuwatafute wale mmoja mmoja

mfano Shekhe Ponda kapigwa risasi ya bega bila Shaka kunamadai anayo👈

na kuna Mashekh wengi waliopitia maswaibu mbali mbali tangu enzi izo kufikia sasa✍️

..Mauaji yote hayo yamefanywa na watawala wa Ccm.
 
Matamko yake tunayo kabla ya Uchaguzi miezi michache nyuma yake👈

Wapo wamekufa kwa kuuwawa na Waandamanaji sio jambo geni imetokea pale Iranian na Trump kakiri kiwapa silaha Waandamanaji ili kuchochea MOTO!

Ndiomana ile D9 na 7+7 ulinzi ulikuwa mkubwa sana
Sababu vyombo vya Usalama walikuwa na fununu kutokea kama yale ya Mo29 yani
Wapo Waandamanaji wenye silaha

ndiomana Polisi wakasema tunajua kunamatukio ya Kigaidi wanataka kufanyaka iyo 7+7 yakiwemo Waandamanaji kuwauwa raia wa kawaida ili kuchochea Maandamano yao✍️

..pia yako matamshi ya kuwachochea Polisi kufanya ukatili.

..yako maandalizi ya waziwazi ya Polisi kufanya waliyofanya Oct 29.
 
Kwamba Raisi hakuwa anawasiliana na Watendaji wake...na hahusiki??!
Ni huyu Kitima au .!...Hivi aliyesema nguvu iliyotumika ilisitahili Kitima hamjui ni yupi??!

Father Kitima yeye na wenzie Damu za mo29 zinaendelea kuwasumbua
Yeye na wenzie walitakiwa kuwaomba Msamaha Watanzania
Wote 👈

Ushauri wangu kwa Father Kitima na wengine wenye lengo zuri kwasasa upo ivi

waitishe michango au kuchangia chochote kwa Watanzania wenzetu waliopoteza Maisha na nk 👈

Waandaaji uchangiaji upangwe vizuri kwa utulivu ili ipatikane njia nzuri zaidi 👈

kisha waje kwa wananchi tuchangie wakumbuke kuvisha uchangiaji sura ya kitaifa
Naamini lengo la Father Kitima na wengine litatimia japo kipatikane kifuta machozi kwa wezentu👈

lkn sio pesa za Serikali❌️ hapana ✍️
 
Back
Top Bottom