Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

Swala la Mass Killing halipaswi kutatuliwa kwa samahani bali kwa uwajibikaji per se. Kuna watu wanapaswa kuwa jela licha ya kusema samahani. Huwezi kuua almost 10K citizens kisha ukategemea neno "Samahani" litatosha.
 
Haya mambo yalianza mbali sana na TEC hawakujiongeza!
Mauaji ya Zanzibar 2001 kipindi cha mkapa,mkapa aliomba radhi!!?haki ilitendeka!!?mlidai katiba na tume huru ya uchaguzi!!?wazanzibari sio watu!!?
TEC hawakudai katiba Wala tume huru ya uchaguzi kipindi kile cha mkapa!!
Damu Ile Ile imemwagika huku ndio TEC wanajitokeza na kukomaa!
Sasa najiuliza mlikua wapi!!?au wazanzibari hawakua watu ni wanyama!!?
Au kwasababu mkapa alikua Tanganyika mwenzetu!!?
TRUST ME NAWAAMBIENI UKWELI AMBAO WENGI HAMUUJUI
MAUAJI YA OCTOBER WAZANZIBARI WALIKUA WANALIPA KISASI NA WAMEFURAHI SANA COZ WAMEPIGWA NA KUUMIZWA KWA MIAKA MINGI SASA ILIKUA ZAMU YETU!!!
HUO NDIO UKWELI ULIOJIFICHA KABISA NA MAMA AMEWAKOSHA KWA KUTUMIA KATIBA ILE ILE NDIO MAANA ANATOA MANENO YA SHOMBO "HAKUNA CHA NYWII NYWII"
HULKA ZA WANAWAKE WENGI NI KULIPA KISASI
Hata thabit kombo juzi alilopoka bungeni kwamba askari walifuata amri halisi ndani ya utaratibu wa kawaida ya ku shoot!
Wazanzibari wametumia ubovu wa katiba kulipa kisasi!!
 
Back
Top Bottom