Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

Wakuu,

Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.

"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.

Hakuwepo madarKani sindio??
WAliomsikiliz wakakubali kufanya ndio waombe msamaha
 
Haya mambo yalianza mbali sana na TEC hawakujiongeza!

Mauaji ya Zanzibar 2001 kipindi cha mkapa,mkapa aliomba radhi!!?haki ilitendeka!!?mlidai katiba na tume huru ya uchaguzi!!?wazanzibari sio watu!!?

TEC hawakudai katiba Wala tume huru ya uchaguzi kipindi kile cha mkapa!!

Damu Ile Ile imemwagika huku ndio TEC wanajitokeza na kukomaa!

Sasa najiuliza mlikua wapi!!?au wazanzibari hawakua watu ni wanyama!!?

Au kwasababu mkapa alikua Tanganyika mwenzetu!!?

TRUST ME NAWAAMBIENI UKWELI AMBAO WENGI HAMUUJUI

MAUAJI YA OCTOBER WAZANZIBARI WALIKUA WANALIPA KISASI NA WAMEFURAHI SANA COZ WAMEPIGWA NA KUUMIZWA KWA MIAKA MINGI SASA ILIKUA ZAMU YETU!!!

HUO NDIO UKWELI ULIOJIFICHA KABISA NA MAMA AMEWAKOSHA KWA KUTUMIA KATIBA ILE ILE NDIO MAANA ANATOA MANENO YA SHOMBO "HAKUNA CHA NYWII NYWII"

HULKA ZA WANAWAKE WENGI NI KULIPA KISASI

Hata thabit kombo juzi alilopoka bungeni kwamba askari walifuata amri halisi ndani ya utaratibu wa kawaida ya ku shoot!

Wazanzibari wametumia ubovu wa katiba kulipa kisasi!!
Kiongozi umesikiliza hayo mazungumzo ya Kitima yote?
Mbona hayo ya Zanzibar kayaongelea na hatua walizochukua TEC kuhusu yale mauaji?
 
Wakuu,

Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.

"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.

Dhehebu linalo simamia ukweli ndilo hilo basi mengine ombanomhabya muchango imeyatoa kwenye mstari hasa hawa KKKT na BAKWATA
 
Kwanini kizimkazi?
Huko Samia anakwenda kwenye ulozi.
Mganga wake ni mkubwa chamani hapo kwa wadigo wale wanaopeana talaka kama kuku.
Huyo mnene ni mume wa mwakilisho wa mlozi ngazi ya mkoa na ndiye mganga wake.
Kila raisi ana kwao atokapo, kama Kila mtu angeanzisha festival kwao Leo zingekuwa ngapi?
 
Neno samahani litasaidia nini? Je, uhai wa watu waliopotea nani ataulipia.

Uwajibikaji pekee ndio kitu kinatakiwa.
Yes...! Tunamtaka anaeamrisha utekaji,tunamtaka kiongozi wa utekaji na wanaohusika nao wawajibishwe.

Tunamtaka alieamrisha mauaji ya tar 29 na askari waliohusika kupiga risasi raia. Wawajibishwe.
HATUTAKI TUME ZA JANJA JANJA KUTAFUTA SIJUI ALIETOA HELA. TUNATAKA ALIEAMRISHA MAUAJI NA WAUAJI WENYEWE.
 
Wakuu,

Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.

"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.

Huyu jamaa kama demu!!
Yaani mchochee fujo nyinyi kisha waombe msamaha engine?rubbish
 
Father Kitima ni mjanja kimtindo👈 lkn kakutana na wenye akili kubwa
Ilo ndio uyu Father Kitima. hajagundua kwasasa👈

Mtego wa Father Kitima upo hapo
Serikali ikikubali kuomba msamaha manake wanakili kosa👈

Father Kitima icho ndicho anakivizia kimya kimya!!👈

Nini lengo lake kutokea apo sasa
Serikali chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Itaanza kuandamwa kwa Matamko ya kulipa fidia kwa waanga
wa Mo29 ✍️

Safari kutokea Dar es Sallam mpaka Dodoma nyinyi mnadhani kweli lengo lilikuwa ni kumtaka Rais kuomba msamaha tu
Pekeyake‼️‼️‼️👈

Father Kitima baada kushindwa project yao A👈
Kwasasa Vita wanaelekeza kupatikana fidia kwa
Marehemu wao ambao wao wameusika kuwaswaga kwenye kifo chao👈

Sasa matukio ya namna hii yametokea tangu uko nyuma na hatukusikia nyimbo
ya Fidia 👈

HAKI haiwezi kuwa na
makengeza 👈

Kama ni Fidia wapewe watoto wa Pemba tuje Unguja tuje Dar es Sallam 👈

tuje kwa Mashekh mbali mbali waliowekwa ndani kipindi kirefu👈

uyo Tundu Lissu ndio kwanza mwaka m1
kuna Mashekh wamekaa ndani miaka 8

Wamekuta wake zao na watoto wengine 🫡🫡

Kesi za Mashekh kuwekwa ndani zipo nyingi sana.

Kuna Shekhe Ponda kapigwa risasi begani sijui lengo lilikuwa kumuuwa
So Mzee anayo madai ya Msingi👈

Kama ni Fidia Serikali iwe tayali kuandaa pesa za kutosha✍️
 
Mlikuwa mnakenua tu mimeno kuona Waandamanaji wa CUF wakiuwawa

Sasa yamewafika majumbani mwenu

Mlishawishiwa Makanisani mwenu kuandamana ‼️

na Fidia mtapewa uko uko Makanisani kwenu na viongozi wenu shubamit ✍️
 
Wanaamini watanzania watasahau,
Kitu ambacho hakiwezekani in this generation

Kama pale Pemba na mwembechai waislamu wamsaau kwani iyo Mo29 watu wasisaau👈

Hakuna Fidia hatuwezi kuwapongeza wavunja Sheria na wachoma miundombinu ya Serikali👈

Mkipewa na dhawadi ya pesa mtakuja kuchoma💥💥 mpaka Airport zetu✍️
 
Ni aibu kuona kuna watu wanaamini watanzania walilipwa kudai uchaguzi huru, uhuru wa vyombo vya habari, kupinga matukio ya kutekwa,kupotezwa,kuuliwa kinyama sambamba na unyanyasaji wote uliokuwepo kabla ya mauaji ya haraiki ya October 29
 
Back
Top Bottom