SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Hakuwepo madarKani sindio??Wakuu,
Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.
"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.
Kiongozi umesikiliza hayo mazungumzo ya Kitima yote?Haya mambo yalianza mbali sana na TEC hawakujiongeza!
Mauaji ya Zanzibar 2001 kipindi cha mkapa,mkapa aliomba radhi!!?haki ilitendeka!!?mlidai katiba na tume huru ya uchaguzi!!?wazanzibari sio watu!!?
TEC hawakudai katiba Wala tume huru ya uchaguzi kipindi kile cha mkapa!!
Damu Ile Ile imemwagika huku ndio TEC wanajitokeza na kukomaa!
Sasa najiuliza mlikua wapi!!?au wazanzibari hawakua watu ni wanyama!!?
Au kwasababu mkapa alikua Tanganyika mwenzetu!!?
TRUST ME NAWAAMBIENI UKWELI AMBAO WENGI HAMUUJUI
MAUAJI YA OCTOBER WAZANZIBARI WALIKUA WANALIPA KISASI NA WAMEFURAHI SANA COZ WAMEPIGWA NA KUUMIZWA KWA MIAKA MINGI SASA ILIKUA ZAMU YETU!!!
HUO NDIO UKWELI ULIOJIFICHA KABISA NA MAMA AMEWAKOSHA KWA KUTUMIA KATIBA ILE ILE NDIO MAANA ANATOA MANENO YA SHOMBO "HAKUNA CHA NYWII NYWII"
HULKA ZA WANAWAKE WENGI NI KULIPA KISASI
Hata thabit kombo juzi alilopoka bungeni kwamba askari walifuata amri halisi ndani ya utaratibu wa kawaida ya ku shoot!
Wazanzibari wametumia ubovu wa katiba kulipa kisasi!!
Diplomatic tu imetumika ,Kitima,mimi na wewe tunamjua mhusika mkuu ni naniKwamba Raisi hakuwa anawasiliana na Watendaji wake...na hahusiki??!
Ni huyu Kitima au .!...Hivi aliyesema nguvu iliyotumika ilisitahili Kitima hamjui ni yupi??!
Dhehebu linalo simamia ukweli ndilo hilo basi mengine ombanomhabya muchango imeyatoa kwenye mstari hasa hawa KKKT na BAKWATAWakuu,
Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.
"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.
Naunga mkono hoja!?Samia alipigwa spana akaamua aende kuwajibu kwa mipasho mafichoni-kizimkazi
Yes...! Tunamtaka anaeamrisha utekaji,tunamtaka kiongozi wa utekaji na wanaohusika nao wawajibishwe.Neno samahani litasaidia nini? Je, uhai wa watu waliopotea nani ataulipia.
Uwajibikaji pekee ndio kitu kinatakiwa.
Huyu jamaa kama demu!!Wakuu,
Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.
"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea hayakupaswa kutokea na hayatatokea tena. Lakini bado hatujamsikia akisema 'samahani' kwa niaba ya watendaji wake waliokusababishia wananchi maumivu hayo," alisema kiongozi huyo wakati wa mahojiano hayo.
Jini linaombaga samahani?
Wanaamini watanzania watasahau,
Kitu ambacho hakiwezekani in this generation
Kama pale Pemba na mwembechai waislamu wamsaau kwani iyo Mo29 watu wasisaau👈
Hakuna Fidia hatuwezi kuwapongeza wavunja Sheria na wachoma miundombinu ya Serikali👈
Mkipewa na dhawadi ya pesa mtakuja kuchoma💥💥 mpaka Airport zetu✍️