Tumia one million 199500
Acheni mbwembwe, 212 ni 3,000! Unanukia fresh 24hrs.
550,000/- ukitaka nifahamishe.
Mkuu jipatie Quality poa na kwa bei nafuu na kwa bajeti ya mfuko wako !! ...fika pale Mlimani mall, au My fair duka la FoneShack ...wadau naomba tujuzane pafyumu nzuri za wanawake na wanaume ukiweka na bei itakuwa poa sana.
Marquise.....nzuri ni 3,000/- za kibongo. Try that
Mkuu hembu tuwekee harufu kidogo
Huenda hukua umezaliwa kijana, haya mafuta yanaitwa YU ukipaka wiki nzima unatoa perfume nzuri huku nguo zako umezitunza na mothball
Tafuta kuluthum nzuri sana hii..