Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Huu ni ugonjwa hauna mahusiano na jicho la tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari mkuu Mshana Jr Naomba kujua hili,
Eti, kufungua Jicho la Tatu usiku ni hatari? (Kwa anaeanza. Nikiwa na maana mtu anaweza kukaribisha Nguvu hasi zikamwingilia?)

Kuna mtu nilimsikia eti mchana ndio Bora kwasababu Kuna mwanga.
Naomba uthibitisho wako mkuu
 

Ninaye soma comment hii 2021, naweza kusema haya uliyoyasema kuwa yanaweza kutoke siku za usoni yametokea na inaweza kuwa ndio mpango huo huo wa Rockfeller family.
We are now at war, the world is struggling to survive. We are at war with COVID-19 which I think it’s one of theirs. Nalihitaji hili jicho la tatu.
Kwa mjmi Mkristo, nawezaje kupractice ili niweze kufunguliwa @Mshana Jr .Kuna mambo mengi sana yananisumbua kichwani mwangu ila nafahamu tu kuwa kuna utatuzi mahala siku za usoni. Mambo ya dini kama nayaelewa na nafika mahala siyaelewi, watu wananiambia ili uielelewe dini usiitafute logic ya kila Mpango wa Mungu hutaaelewa, wanasema wewe amini tu.
 
Natamani kituo chetu cha Mult Faith Research Society kikamilike mapema tushirikishane haya kwa mapana yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati zote ni hatari kwa beginners lakini usiku ndio zaidi kwasababu nguvu hasi nyingi ndio muda wake wa kuvinjari hasa mizimu,mapepo, majini, wanga na washirikina wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Mkuu Mshana Jr samahani tena nisaidie hapa, Hivi mtu aliefungua Jicho la Tatu anao uwezo wa kumkomboa/ kumrudisha mtu aliyechukuliwa kama msukule kutoka (kwenye u-mateka) mikononi mwa mchawi?
Hapana haiwezekani ni vitu viwili tofauti hivi
Yale ni mazingaombwe ya kichawi na hii ni natural practice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…