Almost correct!Naweza kutumia wiki moja.
Vile nafanya navuta pumzi kwa kutumia pia kisha naiachia kidgo kidogo kupitia mdomo huku nimefumba macho.
Ushauri.
Endelea tafadhali.. Meditation inahitaji muda na uvumilivu..sikushauri ukate tamaaUshauri.
Niendelee au nibadili au kipi kifanyike natamani sana haya mambo.
Sahihi kabisa[emoji817][emoji736][emoji1545]Paji la uso pia huonyesha hisia za mtu,halidanganyi ,nia ya mtu dhidi yako utaijua hapa,mdomo unaweza kucheka lakini paji la uso wake likaonyesha yote yaliyoujaza moyo wake,Asante kwa Elimu.
Hauko pekeyako ni wengi hwatokea hii hali ni mawasiliano ya kiroho kati ya watu wawili wenye ishu mojaMshana naomba kuuliza swali,kuna hii ishu ya nikiwaza mtu lazima anipigie simu,hii imekaaje?sometimes inanipa tabu hususan wanaonidai,nikiwaza tu sim inaita[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
Afadhari ya wewe unapigiwa simu, mimi naonana nao kabisa uso kwa uso naweza kukutana nae akiwa kwenye ishu zake au akaja kunitafuta ninapopatikanaMshana naomba kuuliza swali,kuna hii ishu ya nikiwaza mtu lazima anipigie simu,hii imekaaje?sometimes inanipa tabu hususan wanaonidai,nikiwaza tu sim inaita[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
(Very serious)Hauko pekeyako ni wengi hwatokea hii hali ni mawasiliano ya kiroho kati ya watu wawili wenye ishu moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wewe bali kuna vita ya kiroho ambayo unakuwa mshindi(Very serious)
Habari mkuu Mshana Jr naomba unisaidie tena hapa. Sasa hivi nimeandamwa sana na ndoto ya kuota nakimbizwa na kundi la watu na wakinikaribia tu kutaka kunikamata nafutika/ nayeyuka nageuka kuwa hewa Mimi nawaona wao hawanioni ila nakuwa nipo hapohapo walipo ila hawanioni. Imekuwa ikijirudia mara kadhaa.
Msaada mkuu, hivi hapa naandika hivi nimetoka kuota hiyo ndoto.
Nakuombea sanaKila wakati namuomba Muumba anionyeshe jicho la tatu ili niweze kupambana na visivyoonekana na macho mawili. Maadam Mungu hakuonyeshi kwa wakati watu wanakimbilia kwa shetani. Hakika shetani ni chapchap ili mradi utimize masharti.
Kumbe katika kufungua ilo jicho la 3 kuna two options negative and positive sa unajuaje this door I'm in negative au hapa nimeingia mlango wa positive I mean clearly mlango wa positive unafunguliwaje na wa negative unafunguliwaje or is just one way unafungua then mbele kwa mbele utachagua uende positive au negativeNaamini tuna wanafunzi wengi wa Buddhism humu ndani hasa kwenye kipengele cha spiritual awakening.
Unaposoma hiyo topic na ukaja kulinganisha na huu mchoro unapata mtiririko wenye kuleta uhalisia wa ajabu kabisa.
Lakini pia kuna baadhi ya mimea hutumika kiimani kama stimuli/stimulas ya jicho la kiroho... Ni kama shortcut ya meditation au ya kuingia mlango wa sita kupitia moshi.
Ndio maana mijadala haiishi kuhusiana na mmea... Shida moja ya mmea ni kwamba huamsha pande mojawapo kati ya zile mbili za mawasiliano ya kiroho ndani ya nafsi upande wa hasi na upande wa chanya... Inategemea kichocheo kipi kitawahi.
Kuna hii kitu mtu akifanya mambo yasiyoeleweka anaambiwa ni madhara ya bhangi za kuvutia chooni, ni kama mzaha vile lakini chooni panajulika kama mlango wa kuzimu na makazi ya roho wachafu...
Sasa bhangi inaamsha mlango wa sita kupitia jicho la tatu halafu unalivutia chooni, hapa unachanganya hasi na chanya. Matokeo yake lazima kichwa kipate moto.
Kila kitu ni mind stated.. Situation unayoingia nayo ndio itakayokupa matokeo hasi au chanyaKumbe katika kufungua ilo jicho la 3 kuna two options negative and positive sa unajuaje this door I'm in negative au hapa nimeingia mlango wa positive I mean clearly mlango wa positive unafunguliwaje na wa negative unafunguliwaje or is just one way unafungua then mbele kwa mbele utachagua uende positive au negative
Unaingiaje yanKila kitu ni mind stated.. Situation unayoingia nayo ndio itakayokupa matokeo hasi au chanya
I link nione tahajud maizi inavyofanywa ,, afu njia ni iyo moja tu tahajud au kuna njia ingine?Kupitia tahajudi.. Hasa tahajudi maizi