Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Means being Holy ?
 
Duh hebu rudia kusoma mada
Habari Mkuu Mshana Jr naomba nikushirikishe kwenye hili, nahitaji msaada wa ushauri.
Mimi Kuna mwanamke nilikuwaga nae kipindi cha nyuma, niliishi nae na tulipendana sana tu na nilimuahidi kua nitamuoa. Lakini ilikuja ikatokea bahati mbaya sikumuoa yeye lakini bado nampenda kuliko hata mke wangu. Sasa alichokifanya amenifanyia mambo ya kiswahili alienda kwa sangoma akanitupia Jini maiti, limeniharibia Kila kitu hadi kiafya limenikalia upande wa kushoto kwenye mbavu.
Kutokana na kusoma elimu hizi za tahajudi na faida zake kua mtu anaweza akafungua Third Eye na kuamsha Kundalini power kupitia meditation, Je, naweza kupractice meditation kwa juhudi ili niziamshe nguvu hizi nijisaidie mwenyewe au mpaka nitibiwe kwanza kwa wataalamu? (Nikimaanisha kua kuopen hiyo Third Eye ili liweze kunisaidia huku hicho kimvuli kikiwa mwilini au hadi kitolewe kwanza?)
Nimeshazunguuka sana kwa waganga, lakini bado tatizo lipo wanatuliza tu then linarudi.
 
Nitakujibu kwa kutulia pole sana
 
Same same to me
 
Pole sana lakini je una hakika ndio kafanya hayo? Je una hakika una hicho kiumbe mwilini mwako?
By the way meditation, kundalin n the like ni kwa ajili ya kuondoa uchafu na makandokando yote mwilini ili mwili ubaki kwenye natural state.
Hayo mauchafu ni yale yanayoyokana na makuzi, vyakula, elimu naafundisho mbalimbali starehe nknk
Hicho kilichopo kwako ni mvamizi wa moja kwa moja mwilini mwako, meditation ingeweza kuzuia kabla hakijaingia lakini si baada kwakuwa utakuwa na uwezo gani wa kuanza practice wakati una mvamizi maungoni mwako?
 
Mkuu ngoja nikupe wazo labda litakusaidia.....haijalishi nina nguvu za kichawi kiasi gani,kama ninayeenda kumdhuru ana beliefs flani nzuri juu yake nitabounce kimtindo,anaweza kuvamiwa lkn vitu vitamwachia tu.

Sasa wewe kwanza una imani kwamba umefanya kosa,umemchezea then ukaoa mwingine,umejiweka kabisa kwenye upande wa kosa....na subconscious yako ikalihesabu so mlango ukawa wazi kuwa akiniloga vitanipata coz nlichofanya sio sahihi.

Pili ulitoa ahadi,unajilaumu kwanini nilimdanganya.
Sisemi uliyofanya ni sahihi ila nachosema ni sababu conscious yako inaona uliyofanya sio sawa;fanya ivi kamuombe msamaha,ili kuclear conscious yako.

Baada ya hapo sasa ukishaona unajiskia amani umeomba msamaha anza sasa kushughulika na beliefs zote ili hao majini uliowaunda kwenye ubongo wako wayeyuke.coz utakuwa umeenda kwa waganga au makanisani wamekwambia umelogwa na kadhalika,au unaweza tushirikisha pia umejuaje.

Ila dhumuni la meseji hii ni kukwambia kwamba mind yako imeunda hili tatizo na ina uwezo wa kuliondoa,pambana na beliefs zako maana ndizo zinaleta definition then emotions na feelings ambazo zinaunda jambo.

Kumbuka:unapoenda kanisani,kwa mganga,au kunywa madawa kinachokuponya ni IMANI yako juu yao,au dawa na sio vinginevyo.
 
Kwakeli ni Hadithi ndefu, sababu yakujua ni yeye ndio alinifanyia hayo niliambiwa na mchungaji, nikaamua kwenda kwa waganga kama 7 wakanianbia kua kunamwanamke nilikuwa nae lakini nikamuacha then akakasirika na kunifanyia hayo. Lakini Mimi nikilala usiku kunawakati Jicho langu la kiroho linafunguka then namuona mtu mfano wa kivuli cheusi kaingia chumbani mwangu kasimama mlangoni, then napiga kelele (kumbuka nakua nimefumba macho) halafu baada ya kuamka ufahamu wangu unaniambia yule ni mama yangu mzazi, japo alionekana kama kivuli cheusi. Nikaanza kumshutumu kuwa ni mchawi, hili suala lilianza kuleta mgogoro mpaka kwenye familia kumwambia mama ananiroga wakasema kua sasa naanza kuchanganyikiwa.
Niseme tu pamoja na kuambiwa na pastor pamoja na waganga kua nimerogwa na mwanamke nilie kuanae zamani, lakini bado "The Sixth Sense" (Ufahamu) yangu inaniambia kua huyu anaeniijia usiku ni mama. Niliishamuomba msamaha kwa kumuita mchawi na yeye akasema ananiombea tu Kwa Mungu nipone kwani sio mimi nimechezewa tu. Pamoja na yoote yeye hana kinyongo na mimi lakini mwisho wa siku hisia zangu zinamuhisi yeye tu kua anahusika.
(Kipindi cha nyuma nilikuwa nafanya sana Mantra meditation kwaajili ya kutaka kuopen The Third eye, ndipo matatizo yalipoanza nikaacha. Nilikuwa nimefikia hatua ya paji lauso kuhisi kama Kuna kiwembe hivi kimenichana, hata baada ya kuacha kupractice, ile hali iliendelea, nikishinda mchana kutwa katikati kwenye paji la uso nahisi ki-hali flani kama kuna kiwembe kimenichana. Sasa hivi nikilala usingizi akija mchawi au mwanga tu namuona huku nikiwa nimefumba macho, ila anaonekana kwa taswira ya kivuli na kwenye macho yake yana ng'aa kama tochi.

Nikiwasimulia watu niliyoyaona usiku wananiona kama nataka kuchanganyikiwa.
 
Huyo unayemuona ndotoni sio mama yako mzazi bali ni mtu anajivika kivuli chake inaitwa coumaflage
 
Mkuu jaribu zoezi la kutuliza akili kwanza(meditation)…..kila kitu kipo kwa kadiri ya unavokiamini.ukiacha kuvipa attention vitapotelea mbali.
Stop PAYING attention kimawazo kwenye uchawi (unatumia energy yako vibaya,ni sawa na kwenda kununua kwa hela yako vitu ambavyo hiviitaji wala hutovitumia).

fanya meditation sana Kisha Anza kwa makusudi Kabisa kujifatilia unawaza nini,ni rahisi sana kuloose your mind,sababu umewapa power yako watu wengine wakati your mind is in your control.

Achana na third eye kwanza tuliza akili then anza kuwaza kama mtu ambaye is in control of his life.
 
Tuendlee kujifukiza Ganja wazee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…