Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

Angalia mambo ya gambo bungeni anauliza mbuga ya chato iimeingiza pato gani kwa taifa ! Ni sawa upande miwa halafu baada ya wiki uulize kipato cha miwa hiyo wakati bado hujaanza kuvuna!
 
Wasaliti wa umma wa Watanzania kwa kutetea matumbo Yao. Walaaniwe na huyo wanayemtani awe Mungu. Mh. Mungu....huyo Ni Kabudi mpuuzi mkubwa
 
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Wana chembe za udikteta na kujiona miungu walirithi kwa boss wao tuwe makini na generation ya Magufuli
Huwenda tunarudia makosa tena

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Bila kumsahau dr Philip Mpango(VP)
 
Na JPM alimtania Kikwete kwa ule utani wa mkwere na msukuma.
 
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Anafaa Sana uyu mwana Ruangwa CCM wampe rungu 2025.nilimuona alipoenda wizara ya fedha pale kwa Yale madudu aliyoyakuta alitamani aondoke nao wale.
 
Ni watu wasaliti wa fani zao zilizowapa umaarufu kabla hata Mwendazake hajawafahamu. Kiufupi KABUDI na Bashuru ni BOOTLICKERS
 
CCM wengi ni wanafiki wakubwa mno na walafi wasio na huruma na nchi hii. Wachache waliobaki ni pamoja na Majaliwa KAssim. Kuna haha ya kumfikiria huyu kuwa RAIS mwaka 2025.
Toa ujinga wako, 2025 ni Mama tena. Hao wafikirie labda 2030 na kuendelea.
 
Warioba Kama alifanya ivyo hizo ndo tunaziita "chuki binafsi " uku kwetu .
 
Hao ni Bush Men wenzake na ndiyo walishiriki kumshauri vibaya mpaka akatumbukia shimoni.

Nisaidie kumuuliza Palamagamba, iko wapi ile alkasusu aliyoifata Madagascar tena kwa kutumia ndege ya nchi ??
 
Kabudi, Bashiru na Polepole wote wanapumulia mashine kwa kukoswa koswa na panga la Samia!
Waliotaka kuleta machafuko nyau hao. Likatiba bovu wamelikumbatia wenyewe walitaka tena walipindishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…