Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Daah tunasahau haraka mbona, tayari tumeshasahau mkulima wa South alivyokamata ndege zetu? Tena akiwa yeye mwenyewe tuu??
 
Kampeni itaanzishwa na nani, na huyo advocate wa Lissu wa uholanzi? Bro google iko bure kabisa, bando unayo sasa badala ya kupoteza muda wako na mambo ya kipuuzi si bora ufungue akili kidogo kwa kujisomea kidogo.Unajiabisha humu.

Swali lenye akili siyo kampeni kuanzishwa na nani, labda uulize itaanzishwa lini?

It may take time but one day justice will be served!

Halafu wewe mbona inaonekana unaunga mkono yaliyomkuta Ben Saanane, Azory, Lissu, Roma mkatoliki, Mo Dewji, Kanguye, Alphonce Mawazo
 
Kinacho nikera na hayo mawazo yako na kitumwa, kubabaikia mzungu.

Hilo la uzungu ni lako kichwani mimi kwangu binadamu wote ni sawa na mtu yeyote anayeweza kusaidia haki au jambo jema huyo ni rafiki yangu bila kujali rangi ya ngozi yake.

Kwani wewe wasiojulikana wakiwa ni waafrika wenzio unawaunga mkono kwa sababu nyote ni waafrika?
 
Nchi zao ni democracies, senators na representatives wanasikiliza kauli na ushawishi wa wapiga kura wao!. Movement ya kutaka haki juu ya akina Azory, Ben Saanane, na wengineo ikianzishwa, ikashika moto then wasiojulikana watachomoka huko waliko na wataface justice!
Let tell you something, mataifa makubwa hayana time na wewe wala hawajali democracy ya tanzania, wamaangalia maslahi yao hiyo ipo dunia nzima ukiona sehemu wanaforce kuja kuna kitu wanataka sio kwamba wanakupenda sana wewe, kuna nchi kibao zina matatizo kuliko tanzania, rwanda, congo ya kabila, sudani somalia huko middle east na kuna marais wapo madarakani zaidi ya mionho miwili, mbona hawaendi, white people and their nation don't give a fick about you or you democracy, wao wanaalinda interests zao tuu popote pale utakapowaona wapo, tutatue matatizo yetu wenyewe . Its a shame up to now kuna africans wanadhani kuan mtu mweupe atakuka kuwatoa kwenye matatizo yao, hiyo partnership ya lisu na hiyo law firm doesnt mean anything, only make lisu look stupid to voters
 
Daah tunasahau haraka mbona, tayari tumeshasahau mkulima wa South alivyokamata ndege zetu? Tena akiwa yeye mwenyewe tuu??
Kulikua kuna kesi mahakamani, nauliza now kuna kesi kati ya lisu na serikali ya tanzania ndio hao Amsterdam ni representative wa lisu?
 
sasa wewe mbona unaunga mkono matendo ya wasiojulikana!. Hutaki haki itendeke kwa akina Azory, Ben saanane na wengineo?
Mi siungi mkono, siwezi kufurahi binadamu mwenzangu akitendewa mambo kama hayo, lakini kukimbilia kwa wazungu sio solution. Hao ni wabaya kuliko hiyo CCM
 
Let tell you something, mataifa makubwa hayana time na wewe wala hawajali democracy ya tanzania, wamaangalia maslahi yao hiyo ipo dunia nzima ukiona sehemu wanaforce kuja kuna kitu wanataka sio kwamba wanakupenda sana wewe, kuna nchi kibao zina matatizo kuliko tanzania, rwanda, congo ya kabila, sudani somalia huko middle east na kuna marais wapo madarakani zaidi ya mionho miwili, mbona hawaendi, white people and their nation don't give a fick about you or you democracy, wao wanaalinda interests zao tuu popote pale utakapowaona wapo, tutatue matatizo yetu wenyewe . Its a shame up to now kuna africans wanadhani kuan mtu mweupe atakuka kuwatoa kwenye matatizo yao, hiyo partnership ya lisu na hiyo law firm doesnt mean anything, only make lisu look stupid to voters

Wakati mwingine mataifa hayo husaidia kuondoa uonevu kwa mfano Mataifa ya ulaya na Marekani ndiyo yaliyoiwekea serikali ya Kikaburu ya Afrika ya kusini vikwazo hadi ikasalimu amri na kukubali kuondoa sera za apartheid. Hata hivyo hii ilitokea baada ya juhudi kubwa ya shinikizo la taasisi za kiraia, watu binafsi n. k

Kwa hiyo pamoja na ubabe wa Mataifa ya kizungu lakini nyakati nyingine husaidia pia
 
Kama serikali yetu haipo tayari kuwapa ushirikiano, hao watu watatulazimisha ?
 
Mi siungi mkono, siwezi kufurahi binadamu mwenzangu akitendewa mambo kama hayo, lakini kukimbilia kwa wazungu sio solution. Hao ni wabaya kuliko hiyo CCM

Hata baba wa Taifa alipotaka kupinduliwa na waafrika wenzie mwaka 1964 aliomba msaada kwa mzungu(Muingereza)

Hata nchi yetu ilipokumbwa na njaa kali miaka ya 1970's tuliomba chakula Marekani

Hata ARVs tunapewa na Mmarekani

Kwa hiyo Mzungu akitusaidia kudeal na wasiojulikana ni jambo zuri siyo baya!

Au labda wewe una ushauri gani, tutawezaje kuwafikisha wasiojulikana kwrnye. mkono wa sheria?
 
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Hakuna sehemu yeyote ile ambapo mwandishi amelituhumu taifa la Tanzania, serikali au mtu yeyote yule binafsi. Kama nimemuelewa vizuri amewalenga wale waliofanya matukio hayo. Kwa maandishi yako haya inaelekea kuwa unaunga mkono vitendo hivyo walivyofanyiwa hao wahanga na kuwatetea waliofanya hayo maovu!
 
Wakati mwingine mataifa hayo husaidia kuondoa uonevu kwa mfano Mataifa ya ulaya na Marekani ndiyo yaliyoiwekea serikali ya Kikaburu ya Afrika ya kusini vikwazo hadi ikasalimu amri na kukubali kuondoa sera za apartheid. Hata hivyo hii ilitokea baada ya juhudi kubwa ya shinikizo la taasisi za kiraia, watu binafsi n. k

Kwa hiyo pamoja na ubabe wa Mataifa ya kizungu lakini nyakati nyingine husaidia pia
Bro, unaona nini kinachotokea libya, Iraq, Afghanistan, walisema wanaenda kuwakomboa watu wananyanyaswa ma utawala leo watu wanwakumbuka hao vionhozi wao, na hata huko South Africa, ingia google halafu angalia anayemiliki south africa ni kina nani na watu weusi wanaishi vipi ndani ya nchi zao, hizo nyingi ni political stunts na kuonyesha dunia tuu lakini watu wanaangalia interests zao hawana mapenzi wala uchungu na sisi
 
Mbona kama unatetea kilichofanya na wasiojulikana
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
 
Bro, unaona nini kinachotokea libya, Iraq, Afghanistan, walisema wanaenda kuwakomboa watu wananyanyaswa ma utawala leo watu wanwakumbuka hao vionhozi wao, na hata huko South Africa, ingia google halafu angalia anayemiliki south africa ni kina nani na watu weusi wanaishi vipi ndani ya nchi zao, hizo nyingi ni political stunts na kuonyesha dunia tuu lakini watu wanaangalia interests zao hawana mapenzi wala uchungu na sisi

Sisi hawaji kuipiga nchi, bali wanasaidia ili watu wasiojulikana wafikishwe katika mkono wa sheria!

Yeyote yule "asiyejulikana" atasakwa na kufikishwa katika mkono wa sheria!

Mbona wewe hutaki waliofanya ukatili huo waface justice?
 
Back
Top Bottom