Umekariri bila kutumia akili Wewe unajua kariakoo inaingiza mapato kiasi gani? Gari nyingi zinapark ndani ya shule na shule haiko eneo rafiki kelele mwanzo mwisho, mipango miji walizingua sana kwa center kubwa ya biashara kama kariakoo huwezi weka shule jirani kiasi hicho.Wazo la kipuuzi kuvunja shule ujenge parking.
Wakitengeneza parking Kama hiyo,watatengenezea watu ulaji tu lands waibinafsishe kwa kina li ho chunPatengenezwe parking ya kutosha hata gari 300,000 kila gari itozwe 2500/- jiji lipate fedha liache kukimbizana na wanyonge mitaani kwa ajili ya njaa!,na kuondosha shuru zenye KERO!...
#Gari zote zinazopaki madukani ndani ya kariakoo zitapaki humo,ili wanunuzi waachane na kero za magari wakiwa madukani!,
Simple calculation italeta
750,000,000/-PER DAY!..(Wanapaki asubuhi jioni wanaondoka wanalipa gatini)
#Bongolala mmepata maarifa?
Kuwa na aina ya soko la Karume eneo la city centre mpaka leo ni aibu sana vunja vunja vibanda vyote vile ni uchafuzi wa jijiKwani usiseme kiwanda cha bia hapo kitoke, kiwanda kinakaaje mjini
Pawekwe mallsKuwa na aina ya soko la Karume eneo la city centre mpaka leo ni aibu sana vunja vunja vibanda vyote vile ni uchafuzi wa jiji
Parking iwekwe Jangwani chini ya Azania, Muhimbili etc, then ziwekwe Mwendokasi zinazotoka Hapo Jangwani kwenda Posta na Kariakoo. Hizi mwendokasi ziwe strictly watu wakae, an sio wasimame kama tulivyozoea, ni project rahisi sana ambayo inaweza fanya na Jiji Ilala likajiingizia mapato ya kudumu. Au akapewa Vendor na Timeline ya Mwaka Mmoja project iwe imeanza.Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
Kuvuka barabara ni mtihaniWenye magari wanajipa sana umuhimu.
Hata barabara walitaka wao tu ndio wanatumia , hawataki hata mtu au mnyama avuke kwa mguu barabara
Wakati kinajenga hapakuwa mjini palikuwa nje ya mji,mjini mwisho ilikuwa mnazi mmoja!Kwani usiseme kiwanda cha bia hapo kitoke, kiwanda kinakaaje mjini
Kwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jiji
Shida ni ushamba wengi hawajatembea, Holland watu wanatumia zaidi baiskeli na treni kuliko magari.Wenye magari wanajipa sana umuhimu.
Hata barabara walitaka wao tu ndio wanatumia , hawataki hata mtu au mnyama avuke kwa mguu barabara
Wewe itakuwa ni Mkinga umekuja mjini juzi, pale panaitwa shule ya Uhuru, kuna Uhuru viziwi special school, Uhuru wasichana na Uhuru Mchanganyiko ndio wenye eneo kabla ya stendi za madaradara na baadaye Keenja kujenga hiyo Secondary ya Benjamini Mkapa.Hivi hata nani alieruhusu kuwepo na shule eneo ambalo ni business centre.
Hata TBL sio mahali sahihi. Kiwanda kihamishiwe nje ya mji - Mkuranga, Kisarawe, Kibaha au Bagamoyo.Walichemka hawakuona mbali ile shule pale kwa sasa haifai kuwepo
Hii ni kwa mujibu wa Bongo? Na huko Duniani iko hivyo? AmaKwa miaka ile jiji lilikuwa bado halija changanya ila kwa sasa population imekuwa kubwa sana kiasi kwamba majengo kama ya shule hayana maana kuwa katikati ya jiji