Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

Fimbo inayoua nyoka haiwekwi sebuleni, hutupwa mbali kwa sababu ina sumu ya nyoka
 
Ngoja tuwaite wakina dada hawa watuvunjie hizi code
cariha
miss pablo
chawa wa mama
luckyline
Ahaaaaa tangu ulimwengu wa code uanze lazima vichwa kiwake moto.
Haya nini kimekuumiza kichwa yako

1. guam?
2. Mahakama ya colorado?
3.mzilankende?
4. Bendera?
5. Maembe?

Code zote ziko uchi ukitaka nizifungue nitakupoteza zaidi

Mfano nikisema ' mimi sipendi sana kusafiri sababu napenda kubana matumizi' unaelewa nini. Ndo nishajibu no moja. Ahaaa code oyeee
 
Fungua fungua mkuu
 

Hiyo ya kwanza isome kinyume
 

Seen bro.

Mambo ni mengi na muda unatosha sana huko kwenye ufalme, watu kudeal na watu.

Hii chain ni ndefu kudeal nayo kwa namna watakavyo wengi watasepeshwa. Na itapigwa mchanganyo na walio nje ya system itawakuta ili kupoteza makelele ya waongozwaji.

Kinachouma wanapiga pesa ndefu na haziwaongezei urefu wa maisha na kibaya hauna amani ya moyoni, na wana kampuni ndio wanaumizwa haswa.

“Anyway do not hurt yourself with the thing you can’t control it”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…