Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuwaite wakina dada hawa watuvunjie hizi codePendaelli, jay-millions, Muwa tag na wengine
Fimbo inayoua nyoka haiwekwi sebuleni, hutupwa mbali kwa sababu ina sumu ya nyokaNi miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana
Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ?
Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ?
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi enzi za Mfalme wa Guam 🇬🇺 aliyedumu mwezi mmoja tu pale nafasini
Aliweza kupata wapi pesa Bilion 10 na zaidi?
Na je Kama ni halali kwanini baada ya kuondoka kwa Mfalme alishirikiana na Tesla kuziondoa benkini bila utaratibu?
Hii benki ichunguzwe maana haikomboi watu Kama inavyojinasibu Bali iitwe benki ya UKOMBAJI siyo UKOMBOZI
Na baada ya kuziondoa kaziweka kwa asset chini ya Majina ya watu wanne
Kinara mmoja ni mropoka hovyo mtandaoni
Mwingine ni Mwaka wa Usukumani mfanya biashara ua madini
MROPOKAJI alijinasibu Ana Mali sana, Yule alompaga kigugumizi Mfalme wa Guam akausoma mchezo akaenda mahakama ya Colorado ikaamuru kwamba aliyeropokewa alipwe,,,
Si Yule Mzilandende akausoma mchezo akawatuma watu kwa msaidizi wa Pope ili Bwana mropokewa asamehe deni! Si Mropokewa ashausoma mchezo kwamba Benk yenye ubia na watu wa Madiba ina Mchele? Akakomaaa sana
Sasa maagizo kupitia jaji wa Colorado anayeheshimika akishirikiana na wenye chembe chembe za Guam gang wakainyang’anya leseni Kampuni ambayo ilipata kuibua mzee wa (nine hundred we will understand each other slowly slowly). Ikabidi mzee wa bendera ya Maemba yake atafte kampuni nyingine, kabla hajakamilisha
Maskin wakati Bendera ikitafta Maembe yake ikaishia kupewa simu ya Kudhoofisha mapafu!!
Swali linabaki kwamba ina maana financial institution za guam zinaweza chakata mchezo hadi 10B ??
Hahahah! Kiasi gani?10B aisee wanasiasa hawa
Mimi nkipata mshahara wangu tu hua sisalimii watu naona wote wanataka kuniibia
Haha Jamaa katishaHahahah! Kiasi gani?
Ahaaaaa tangu ulimwengu wa code uanze lazima vichwa kiwake moto.
Fungua fungua mkuuAhaaaaa tangu ulimwengu wa code uanze lazima vichwa kiwake moto.
Haya nini kimekuumiza kichwa yako
1. guam?
2. Mahakama ya colorado?
3.mzilankende?
4. Bendera?
5. Maembe?
Code zote ziko uchi ukitaka nizifungue nitakupoteza zaidi
Mfano nikisema ' mimi sipendi sana kusafiri sababu napenda kubana matumizi' unaelewa nini. Ndo nishajibu no moja. Ahaaa code oyeee
Hahahaha, umeeleweka ChiefFungua fungua mkuu
Jamaa wana mihela sio mchezo lakini pia hawana peace of mind completely !! 😱Hizo Tibaijuka alisema za mboga!
Inaoneka mshahara wako ni zaidi ya 10 B. Hongera sana.10B aisee wanasiasa hawa
Mimi nkipata mshahara wangu tu hua sisalimii watu naona wote wanataka kuniibia
Ahaaaaa tangu ulimwengu wa code uanze lazima vichwa kiwake moto.
Haya nini kimekuumiza kichwa yako
1. guam?
2. Mahakama ya colorado?
3.mzilankende?
4. Bendera?
5. Maembe?
Code zote ziko uchi ukitaka nizifungue nitakupoteza zaidi
Mfano nikisema ' mimi sipendi sana kusafiri sababu napenda kubana matumizi' unaelewa nini. Ndo nishajibu no moja. Ahaaa code oyeee