Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

Huna tofauti na jamaa aliyeambiwa na Mungu aombe chochote atapewa ila jiran yake atapewa Mara mbili ya hicho kitu;yeye akachagua kutolewa jicho moja ili jiran akose yote mawili.Acha roho mbaya kwa kijana wa kimaskin anapotusua
 
Kitendo kinaweza kuwa si kizuri lakini wewe mfikisha ujumbe ndio unauleta ujumbe kishabiki kishabiki. Maana naona umekomalia sana au kuna ujira Umepata? Kwa hili leo sikuungi mkono maana limekaa kimajungu tu.
 


Hahahaaaaa!

1.Haki ya Mungu na mtume Dai sina ubaya nae wowote, ni shabiki wake mkubwa sanaaa. Nyimbo zake Mbagara na nataka kulewa nazipenda mnooo, ni among my favorites. Hizi ngonjera ni muhimu sanaa kwa jamii.

2. Sasa mimi naimba au kurap useme nimuonee wivu Dai? Jisauti langu kama churaaa. Producer akilisikia atanichapa risasi za tako si kwa msauti huu wa 15.

3. Lets hope so, the thing about public you can never be sure how it will react. Zishaanza kuja email za kina Ian na wenzie it is just a matter of time vitakuja vingi. My PM is open jamani kwa Voda people.

4. Jamani tangia lini blackmail ikafanyiwa hadharani? Huko TMZ kuna umbali gani zaidi ya ku type tu keyboard yangu? Hahahaaa! Mimi sifanyi hiii sababu yenu au kama mtakavyo. Nimejitoa kufatilia hili so i have my plans laid out. Just wait and see.

5. Mimi Zali simdhalilishi, well maybe a little lakini all i did ni kupoint out kwamba sio sawa mwanamke mtu mzima mwenye watoto wa kubwa kufanya yale anayofanya mdogo wangu Zali. Ila all is weel, i must admit it was non of my business, her life her choice nimemuacha bwana afanye atakavyo nchi huru hii. And Zali im sorry i shouldnt have medled into your business to begin with. Hapa somehow i am guilty as charged.

Mwisho NILIJITUMA MWENYEWE KWA HIO UJUMBE WAKO NIMEPATA SAWA SAWIA.
 
Kitendo kinaweza kuwa si kizuri lakini wewe mfikisha ujumbe ndio unauleta ujumbe kishabiki kishabiki. Maana naona umekomalia sana au kuna ujira Umepata? Kwa hili leo sikuungi mkono maana limekaa kimajungu tu.

Kuwa na amani tu dear, NCHI HURU HII hata usiponiunga mkono poa tu. toa maoni yako kwa uhuru na amani tele utumwa wa nchi nyerere ameukomboa.
 
Unajua mi napenda haki itendeke ila ma dear it seems wewe ndio unamatatizo.. Kuburuza na kuwasuta wanawake wenzako kwenye Mitandao ya kijamii kwa kigezo eti your seeking gender equality. Wewe kama mwanamke you should be ashamed of yourself.

Wewe ndio mtu wa kwanza kuwadhalilisha hao wanawake wenzako. I personally don't believe Jokate and Wema and others hawajui HAKI ZAO. Some way ya kuieleza jamii unachuki binafsi.

Lastly, I don't encourage anyone juu ya kumpiga mwenzie.. Lakin references zako kwa magazeti ya udaku? Seriously?? If he's a woman abuser mbona hajatokea hata mmoja especially huyó Zari.

Kama kuna mtu kabakwa peleka mashtaka mahakamani, sheria ifate mkondo wake.. Naamini haki itatendeka.
 
Huna tofauti na jamaa aliyeambiwa na Mungu aombe chochote atapewa ila jiran yake atapewa Mara mbili ya hicho kitu;yeye akachagua kutolewa jicho moja ili jiran akose yote mawili.Acha roho mbaya kwa kijana wa kimaskin anapotusua

Hapana KIJANA AOMBE RADHI KWA TABIA ZAKE ZA NYUMA NA AMUWAJIBISHE DJ WAKE, SIO KUKUMBATIA VIOLENCE AGAINST WOMEN. Mbona jamii inasamehe sanaa tu. Hatuwezi kaa kimya jamii ikapotea hii arif.
 
Kuwa na amani tu dear, NCHI HURU HII hata usiponiunga mkono poa tu. toa maoni yako kwa uhuru na amani tele utumwa wa nchi nyerere ameukomboa.
Kutoa maoni si tatizo,ila tuna angalia pia hayo maoni yako yana uelekeo gani.
 
Ulitakiwa kwanza uzungumze na Amisuu Maliki ili hiyo kesi iwe na nguvu..sasa ukisema hujui yuko wapi sijui china inaonyesha kabisa unakurupuka tena umeshindilia kabisa ameathirika kisaikolojia kama vile umemuona, kumbe hata alipo pia hupajui.

Usitumie kauli kama "Shame on you"..coz ukimwambia shame on u wema sepetu, shame on u jokate mwegelo sio kauli nzuri kwao hasa ukizingatia ndio unawategemea wawe mashahidi upande wako dhidi ya mtuhumiwa.

Matukio hayo hapo juu upande wa diamond zaidi ya miaka3 nyuma kabla ya kuwa international na kabla hajakuwa mzazi na kuishi maisha ya familia..

Nakushauri upate na evidence kuhusu labda unyanyasaji anaoufanya kwa mzazi mwenzake(zari) na mtoto wake tiffah ili ushahidi wako upate nguvu ili uweze kushinda kwa kishindo.


Ukikomaa na kesi ya romy jones utafanikiwa sana kuichafua vodacom na romy jones na kwa upande mwingine mashabiki na hata menejiment ya wcb.
Utakuwa maarufu sana japo wengi sana watakuchukia

NB:
Kwa jinsi ninavyomkubali diamond platnumz na wcb najiskia huzuni sana.
Why dont u use plan B?






Umetumia zaidi kashfa ya romy jones kwa ku
 

Hahahaaaaa! Kwa hio wewe tatizo lako ni mimi! Okay. IT IS OKAY WANAWAKE KWA WANAWAKE KUSUTANA NI JADI YETU MBONAAA. Whenga wenyewe walisema MWANAMKE UMBEA KUSUTWA SUNA! Hahahaaa! On serious not kama mwanamke i am ashamed of myself all day everyday. Happy now?

Kwa hio mimi ndo nimewazalilisha Wema na Jokate? INTERESTING INDEED. HOW IF I MAY ASK? Chuki binafsi kwa Dai au Wema na Jokate au wote?

The thing about magezeti ya udaku ni very credible yanamtuhumu mtu HADHARANI mbele ya kila mtuuuuu. Kama anaonewa si anajisafisha au anakanushaaa? Ingekuwa refrence yangu ni Mwajuma mngesema Mwajuma ni muongo. Magazeti ya udaku ni chombo cha habari kinabanwa na sheria zote za habari na kikitoa habari mjue imekidhi sheria zoteeee na vigezo vyotee vya bodi ya habari nchini.

Mtu kabakwa dada angu, ahsaenda hospital, ahsenda polisi na tunavoongea mtuhumiwa ni FUGITIVE of law anatafutwa huko Sweden.
 
C'mon, stop exaggerating!! Yaani WCB watumie arguments zako kujisafisha kwa ambacho kiliandikwa kwenye gazeti la Amani?! By the way, naona umeleta tena habari za Debby hata kama ulikataa kutumia issue ya Rommy against Diamond!!!

Kuhusu allegations za Debby; how did you know kwamba sijasoma au watu hawajasoma? How did you know kwamba sijasoma au watu hawajasoma kile kinachosemwa ni maelezo ya Sallam wakati yote hayo yapo kwenye social networks?

Kwamba Diamond alikalia hiyo issue coz' he'd something to hide doesn't answer my question kwamba endapo angeenda Mahakamani, Global Publishers wangeweza ku-prove beyond reasonable doubt kwamba alitaka kumtoa mamake kafara?! That's my question....

That's one but second to be a celebrity or politician you need to learn how to ignore tabloids and other news vinginevyo watu wasingefanya kazi nchi hii kila cku ingekuwa kufukuzana na akina Shigongo mahakamani!

Unahoji; je ni sawa Mbakaji kuwapo kwenye billboards? Mosi; Mtuhumiwa atabaki kuwa Mtuhumiwa hadi pale mahakama itakapothibitisha beyond reasonable doubt kwamba mtuhumiwa ametenda kosa! Je, kuna mahakama yoyote iliyothibitisha tuhuma hizo? If not, what if I say lengo lako ni kuchafua watu?

Pili, kwa mara nyingine ni kama una - admit kutumia issue ya Rommy against Diamond manake mara zote unatumia the same Rommy issue!

Your argument about Bill Cosby ulinifanya niirejee post yangu kuangalia ikiwa nimesema amekiri tuhuma zake or anything like that lakini nilichoandika ni suala la wanawake kutoka mbele kutoa tuhuma dhidi ya Cosby; so your argument here is incompatible to what I said!

Kwamba eti naweza kudandia habari juu kwa juu am very sorry to say hunifahamu katika hili! Si tu kwamba mie ni mfuatiliaji mzuri sana wa entertainment na celebs news pengine huenda kuliko wewe lakini pia mimi si mtu wa kuokoteza habari barabarani au kwenye vigazeti aina ya Amani!!

Mwisho umemalizia je, ni sahihi Vodacom kuwa na billboard yenye picha ya "Mbakaji?"

Mosi, in a goodwill... stay professional kwa kum-refer kama mtuhumiwa wa ubakaji kuliko kusema Mbakaji though you can also ignore my advice... no offense!

Second, kwa mara nyingine umethibitisha lengo ni kutumia issue ya Rommy against Diamond coz ' from deep inside your heart hata wewe unafahamu tatizo lako sio billboards bali endorsements kama ambavyo umekiri hapo kabla!

Lakini kama unataka kufahamu nina maoni gani kuhusu uwepo wa Rommy kwenye hizo billboards; jibu Vodacom wanalo coz' I hope wana standard zao kwa issue mbali mbali!!

Lastly, unadai kwamba huna sababu ya kurudia historia ya Diamond ktk kudhalilisha wanawake huku ukijikita sana kuelezea tuhuma za Rommy as if kuna kipya kwenye hizo tuhuma mbali na yale ambayo umeshasema!!

Now tell me, is this some genius way of finally admitting your accusations to Diamond are baseless na ndio maana ukaamua kujikita kwenye accusations dhidi ya Rommy na kumu-implicate Diamond?
 
Nakwambia hivi akili za wanawake ata shetani anazishangaa wamezitoa wapi..?
Hahahaaa kwa hili nishaomba radhi jamani mbona hivooo. subirini niwe endorsed ndo mtoe haya mambo maana sahivi hata kujiendorse mwenyewe sio rahisi. Mkitumia silaha zote mwanzo wa vita shauri yenu.
 


Alafu unajifanya mtetezi wa wanawake!!
Huo wivu utakusababishia kiungulia ufe..
Hana lolote huyu @lara1! Mange Kimambi anaongoza kwa kukashifu watu kwenye mitandao lakini huyu huyu alishawahi kuleta thread hapa kuwakoga watu jinsi hao hao Vodacom wanavyondhamini Mange... !! Leo hii Vodacom kufanya kazi na Diamond kwake imekuwa nongwa na anapiga kampeni eti mtu anyang'anywe deal!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…