Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda


Haya tu assume umeiona sahivi WHAT DO YOU HAVE TO SAY FROM DEBBY ANGLE KUWA CAUSE SHE HAS NOTHING TO HID KAENDA HOSPITAL, KAPIMAAA, KAENDA NA POLISI KUSHTAKI NA KAWEKA PUBLIC. KWANINI KAMA ROMMY MSAFI ASIENDE SWEEDEN KUFACE CHARGES ZAKE AKA CLEAR JINA LAKE? KWANINI AME OPT KUWA FUGITIVE KNOWING VERY WELL ATAWACOST VODA MAANA MIBANGO YAO TAYARI YUMO. Kwake kwenda Sweeden kujisfisha would have been a win win kwa wote Rommy na Voda.

Kuwa na mtu mnachat MIAKA 2 sio realationship na sio ridhaa yake. Ndo nikasema kuna mtu alishasemaga alikutana na huyo bwana club akajistukia tu keshaliwa mpaka visivoliwa ila sababu hakuwa brave hatukumuamini. Kumkaribisha mtu kwako sio kumpa K. Ridhaa ile bwana tufanye haikuwepo ALI MDRUG according to the victim of which ni very DANGEROUS kwa mabinti zetu wanao enda shows za hawa watu. Wanaweza kuwa draged na kufanyiwa chochote.

Salam alisema demu kataka 12k KWA KITHIBITISHO GANI? EMAIL, CHATS? DM? MANENO TUPU TUUUUU. Hahahahaaa.

Kaka meneja kama moto ndo aliutia petrol. Hahahaa! Bora hata asingemtolea tamko huyo mtuhumiwa fugitive.
 
POWER YA WCB NAIJUA SANAAAA. ILA RAPE CHARGES MY DEAR IS NOT A JOKE.

What rape charges?? Against who?? Mahakama gani??? [emoji57] [emoji57]

Ijumaa usikae mbali na TV yako tunadondosha jisongi jipya, video mpya pamoja na mafikizolo najua ushaskia, Colours of Africa!! Dadadeki ya ni kichupa after kichupa, breaking records and rewriting history, tunataka mwaka huu haters kama nyinyi mfe Kwa kiungulia Kwa wivu maana I promise you Lara 1 hatutawaachia hata gepu la kunywa maji..

 
umegeuza umbea kuwa mtajiii,,,shame on you.... Wema anapigwa afu hasemi muda huo anapigwa ulikuwepo? yaaan mibongo bna jitu linaish changanyiken huko linajifanya habar za Sinza zote linazjua...hahhaha Cheza na mwingne Sio Chibu Dangoteee........
Mtaji wa nini? HAHAHAAAA! NAPATA NINI KWA MFANO ZAID YA MITUSI TU HUMU. Wema hakusema ila MAJIRANI NDO WALI REPORT GAZETINI WAKAPIGIWA SIMU NA KUTHIBITISHA HIZO HABARI, HAPO WAPO MAHABANI TENAAA, WACHAAA WEEE. Uzuri gazeti halipotei.
FYI naishi Mabwe pande.
 
HAKI ZA WANAWAKE NI VERY SENSITIVE GLOBALLY NA VODACOM NI ADVOCATE MKUBWA SANAAA KAMA VODACOM GLOBAL KWENYE MAMBO YA WOMEN EMPOWERMENT. Ndo maana hili jipu la Tanzania tutawasaidia kulitumbua
Hivi wewe kwenda ulaya ndiyo unakuja kutuzingua hapa, Africa is for African n europe for European remember D'platnium is also African man.

Kuna wakati nakuonaga uko smart ila kwa hili umechepuka hawa wasanii wa bongo wanajuana wema na wanawake wenziwe wanaofanana akiri zao huwa wanajua upuuzi na maovu yao wakati mwingine huwa wanaona wanadeserve hiyo dawa ya kubadili tabia.
 
Mtaji wa nini? HAHAHAAAA! NAPATA NINI KWA MFANO

siku nyingine kabla hujachukua hela za watu hakikisha kuwa unaiweza hiyo dirty work unayotumwa!!! You are waging a war against WCB??[emoji15] seriously??? One thing you should know about Dee and WCB ni kwamba anajua kupigana vita, alafu tushapigana vita kubwa sana na hatujawahi kupoteza even once.. sembuse hii ya Lara 1[emoji23] [emoji23]!! Ligi ndogo, kama Barcelona vs Mwadui fc
 

KESHO NI TBT NGOJA NIWAHI KIDOGO TUJIKUMBUSHEE NA HILI

Unique Entertainment Blog: WEMA SEPETU ADUNDWA KAMA MWIZI NA DIAMOND



LIMEKAA VIBAYAAAA, DILI HALIJATULIA LIMEKAA VIBAYAAAA. HAYA MABO YOTE YAMO GOOGLE MBONA.

Anyway about Friday namtakia kijana Dai kila lakheri kwenye muziki wake, nitasikiliza hilo songi na kucheza juuu. Mimi tenaaaa. Na Voda mna mimi tutakumbushana kama hivi kidogo kidogo kesho nataka nikapige picha lile bango maana humu nime search juu halimo ndo nataka kuliingiza sasa. Hahahaaa.
 
Maajabu ya JF... mtu kutaka kesi ya Rommy iwe ya Diamond!! I repeat... wewe hakuna utakachoniambia hapa ambacho mimi sikifahamu.
 
HAHAHAAAA! Sasa ulivoniona niko smart nilipata nini kwa mfano? na unavoniona zuzu napungukiwa nini kwa mfano?
Sio kosa lako STIGIMA ya women abuse ni tatizo la kitaifa. Tutafika mdogo mdogo.
 
Maajabu ya JF... mtu kutaka kesi ya Rommy iwe ya Diamond!! I repeat... wewe hakuna utakachoniambia hapa ambacho mimi sikifahamu.
Sasa wewe ukifahamu WE VODA AU? Hahahaaaaa! Au ndo Ian una pass judgement. It doesnt matter. THE GOOD THING THIS MATTER IS NOW PUBLIC, NA VODA NIMEWA ADRESS PUBLIC, NA NITAENDELEA KUWA ADRESS PUBLIC HATA UKIFA LEO USIKU NOTHING CHANGES IN THIS MATTER.
 
ALL YO HAVE TO DO IS GOOGLE! Haina haja hata ya mifano, yanakujia magazeti mpaka utafurahi. interviews ndo usiseme. mbona haya nayoongea ni marudio tu hamna jipya
Lala1ebu tumia akili kidogo hivi unatembea na newz za udaku..! Story nyingine wema na diamond zilikuwa zinaundwa kupata kick Wache wafu wafe wawazike wafu wao...
 
siku nyingine kabla hujachukua hela za watu hakikisha kuwa unaiweza hiyo dirty work unayotumwa!!! You are waging a war against WCB??[emoji15] seriously??? One thing you should know about Dee and WCB ni kwamba anajua kupigana vita, alafu tushapigana vita kubwa sana na hatujawahi kupoteza even once.. sembuse hii ya Lara 1[emoji23] [emoji23]!! Ligi ndogo, kama Barcelona vs Mwadui fc
 
Tutolee ualikiba wako hapa watanzania mna wivu kwa waliopambana na maisha na kufanikiwa.
 
Lala1ebu tumia akili kidogo hivi unatembea na newz za udaku..! Story nyingine wema na diamond zilikuwa zinaundwa kupata kick wee kisimii kinakunyanyuka na mihemko juu..! Wache wafu wafe wawazike wafu wao...

VIOLENCE AGAINST WOMEN IS NOT A JOKE. Zinaundwa na huo uso ulivilia damu uliundwa nao au? Kwanini Dai hakujitokeza kusema jamani hio makeup tu natafuta kiki kijana wenu. Hahahaaaa! How many years have passed? Simply bacause NO ONE SAID IT WAS NOT RIGHT IT DOESNT MEAN IT WAS OKAY. IT WAS NOT.

Wafu wa haki za wanawake tutakufa na wafu wenzetu. HILI LINK NA PICHA VIPI LIKUJUMUISHWA KWENYE EMAIL KWA MABOSS HUKO VODA? HAHAHAHAAAAAAAAAAA!

Kazi na dawa namleta kali P na wimbo wake limkeaa vibaya
 
Sio tu Voda kapewa endorsement dstv,totmato sijui nn,coca cola we endelea kupiga domo mwenzako anakula shavu na hao waliokua abused hawana hata habari ww povu linakutoka tu
 
HAHAHAAAA! Sasa ulivoniona niko smart nilipata nini kwa mfano? na unavoniona zuzu napungukiwa nini kwa mfano?
Sio kosa lako STIGIMA ya women abuse ni tatizo la kitaifa. Tutafika mdogo mdogo.
Mimi pia ni mwanaharakati wa wamama tena wanao onewa kwelikweli siyo hawa wanaotembea uchi kwa wavuta bangi afu wanadai wamebakwa??

Wenda na uchafu wake ambaye yeye mambo yanayoleta fedhea kwa mama zetu hasa mama yangu leo hii eti anazalilishwa kijinsia???

Wema na mama yake mzazi wao wenyewe wanastahili kushitakiwa kwa kudhalilisha wanawake wenzao.
 
Mama malalamiko yako tumeyasikia na tunayafanyia kazi kuanzia kesho mabango yote ya voda ya Diamond na Rommy tunayatoa na tunavunja mkataba wake na voda alafu huyo Rommy tunamsafirisha mpaka huko ulaya akajibu mashitaka. Kuna la zaidi labda unalitaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…