Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana lolote huyu @lara1! Mange Kimambi anaongoza kwa kukashifu watu kwenye mitandao lakini huyu huyu alishawahi kuleta thread hapa kuwakoga watu jinsi hao hao Vodacom wanavyondhamini Mange... !! Leo hii Vodacom kufanya kazi na Diamond kwake imekuwa nongwa...
Lara 1 huwezi kutuletea drama za kuomba radhi Leo hii kisa unajifanya activist wa haki za wanawake.. kama kweli you feel guilty about this ungeapologize long time!! Unaaplogise leo ili utuzuge na kithread chako hiki cha chuki binafsi na wivu!! Umebugi laraHahahaaa kwa hili nishaomba radhi jamani mbona hivooo. subirini niwe endorsed ndo mtoe haya mambo maana sahivi hata kujiendorse mwenyewe sio rahisi. Mkitumia silaha zote mwanzo wa vita shauri yenu.
Hoja yangu ni kwamba ni wewe wewe ambae ulikuja hapa JF kushadadia udhamini wa hao hao Vodacom kwa Mange through u-turn na wakati huo Mange tayari alishakubuhu kwa kukashifu watu!! Ungesema kwamba ulipokuwa unashadadia Mange alikuwa hakashifu watu ningekuelewa lakini leo unataka wenzako ndo wavunjiwe mkataba!!Vodacom walisha mnyanganya Mange ile contract kitambo OF WHICH WAS THE RIGHT THING TO DO.
Ndo yeye, mbona mi najua kitambo tu.Hoja yangu ni kwamba ni wewe wewe ambae ulikuja hapa JF kushadadia udhamini wa hao hao Vodacom kwa Mange through u-turn na wakati huo Mange tayari alishakubuhu kwa kukashifu watu!! Ungesema kwamba ulipokuwa unashadadia Mange alikuwa hakashifu watu ningekuelewa lakini leo unataka wenzako ndo wavunjiwe mkataba!!
Uwazi ijumaa amani [emoji2] [emoji2] kajipime upyaWema alilalamika gazetini na gazeti lipo mpaka ukomo wa dahari.
Haya hebu ngoja nije PM nikutongoze na wewe teh teh teh....sijui utanikubalia?
Hahahah swali zuri ukweli ndio huo Voda wanamuhitaji Chibu kuliko Chibu anavyowahitajo VodaHivi, kati ya Diamond Platnumz na Vodacom TZ nani anamu endorse mwenzake?
For little that I know, it is Diamond Platnumz who endorses the Vodacom brand and not the other way round.
But then again...what do I know? Lil 'ol me....a lonely miserable curmudgeon.
Hapana.. Sababu anataka free ride at the back of Diamond's fame bila kujali kwamba wanamharibia mwenzao... Kwenye jamii hii ya kitanzania every man is doing what Diamond has been doing .. Ndiyo maana hata hao akina Wema waliofanyiwa hawakureport..Sababu amezungumzia kitu ambacho wanaume tunakifanya tukiona Ni sahihi....!???
Ulitakiwa kwanza uzungumze na Amisuu Maliki ili hiyo kesi iwe na nguvu..sasa ukisema hujui yuko wapi sijui china inaonyesha kabisa unakurupuka tena umeshindilia kabisa ameathirika kisaikolojia kama vile umemuona, kumbe hata alipo pia hupajui.
Usitumie kauli kama "Shame on you"..coz ukimwambia shame on u wema sepetu, shame on u jokate mwegelo sio kauli nzuri kwao hasa ukizingatia ndio unawategemea wawe mashahidi upande wako dhidi ya mtuhumiwa.
Matukio hayo hapo juu upande wa diamond zaidi ya miaka3 nyuma kabla ya kuwa international na kabla hajakuwa mzazi na kuishi maisha ya familia..
Nakushauri upate na evidence kuhusu labda unyanyasaji anaoufanya kwa mzazi mwenzake(zari) na mtoto wake tiffah ili ushahidi wako upate nguvu ili uweze kushinda kwa kishindo.
Ukikomaa na kesi ya romy jones utafanikiwa sana kuichafua vodacom na romy jones na kwa upande mwingine mashabiki na hata menejiment ya wcb.
Utakuwa maarufu sana japo wengi sana watakuchukia
NB:
Kwa jinsi ninavyomkubali diamond platnumz na wcb najiskia huzuni sana.
Why dont u use plan B?
Umetumia zaidi kashfa ya romy jones kwa ku