Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Maisha yako ya dhiki yanakwamisha nini kwao?😀 Hata kama uwe na maisha magumu ndio udharau uhai wako? Wengine tunathamini maisha yetu hadi mwisho na sio kuyatoa ovyoovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yako ya dhiki yanakwamisha nini kwao?😀 Hata kama uwe na maisha magumu ndio udharau uhai wako? Wengine tunathamini maisha yetu hadi mwisho na sio kuyatoa ovyoovyo
Hakuna anayetaka kukuondoa wewe mshindia ugali na dagaa wa tandale, mnasikiliza sana stori za vijiweni za watu wenye akili ndogo, watu waliochanganyikiwa na conspiracies theories kama MathanzuaHata mimi nashangaa mkuu.
Kwa nini watake kutuondoa ilhali dunia ni kubwa?
Hebu angalia video hii fupi ya kile wanachopanga mkuu
Fungua macho mkuu uone kinachoendelea.
View attachment 1953504ngua
mkuu, waliosema hiyari na wanaopita nyumba kwa nyumba (kama wapo) ni tofauti?WAMESEMA CHANJO NI HIYARI YAKO SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUTOANA AKILI
WALE WANAOAMINI KWENYE CHANJO WABEBE NA FAMILIA ZAO WAKACHANJE NA WANOONA HAKUNA LA MAANA WATULIE TU NA FAMILIA ZAO
HAKUNA HAJA YAKULAZIMISHANA WALA KUFUATANA NYUMBA KWA NYUMBA CHUMBA KWA CHUMBA KAMA WAFANYAVYO HUKO MBEYA LEO WATU WAMEYAKIMBIA MAJUMBA YAO KUIKIMBIA CHANJO YA LAZIMA HUKU WAKINADI KUA NI HIYARI.
mkuu, waliosema hiyari na wanaopita nyumba kwa nyumba (kama wapo) ni tofauti?
Bila shaka watakua walewale.
Sasa tutaaminije maneno ya kwanza?
Lazima kuna shida, au sio?
Ni kama hakuna ukweli.
Ni kama kuna mambo ya kificho vile.
mkuu, lengo ni kumsajili kila mwanadamu duniani kwenye database ili iwezekane kumfuatilia kokote aliko na kumtendea yale ambayo wao wamepanga - ambayo kimsingi si mazuri.HAPO NDIO TUNAPOTAKA KUJUA KUNA JAMBO GANI LIMEFICHWA KWENYE CHANJO
MAANA SI HUKU KWETU TU HATA HUKO ILIKOTOKA HAWAITAKI IMEFIKIA WANAFANYA KUSHAWISHI RAIA KWA DOLA 100 KILA ATAKAEKUBALI KUCHANJA
SASA INAPOKUA HALI NDIO HIYO HUKO ILIKOTOKA KWANINI TUSIJIULIZE KULIKONI?