Pale Pastor anapoteleza ulimi wenye hekima humsahihisha

Pale Pastor anapoteleza ulimi wenye hekima humsahihisha

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Kuna maombezi mengine huwa ya kimihemko tu [emoji3]
Screenshot_20221231-082636.jpg
 
Sasa hapo kuna hekima gani au umeanza kuwa mzee wa hovyo

Hapo kalenga watu wenye hizo changamoto

Et just be cz madaktari watakula ndo watu waumwe hovyo.
Kuombea watu wote wapate private car ni ombezi la kimihemko ndugu, kama huelewi ni juu yako
 
Kuombea watu wote wapate private car ni ombezi la kimihemko ndugu, kama huelewi ni juu yako
Ni hivi: hawa ''wachungaji'' wa kileo, wajasiriamali, wanajua woga, tamaa na matamanio ya watu ni nini! Hivyo wanachofanya ni kutumia zile tamaa, woga na matarajio ya waumini wao kupiga fedha. Ndiyo maana husikii watu akihubiri kuacha dhambi kwani wanajua hili halina maslahi kwao.
 
Amen from Miss to Mrs thanks Lord for a kind ness words and to from public car to own a car and from tenant to landlord .
I wish God will be with me to archive it in the Name of Jesus.
Mungu akamwambia Suleman; kwa kuwa hukujiombea utajiri, wala maisha marefu ... hayo yote umepewa. Hatujiombei hivyo ndugu.
 
Back
Top Bottom