Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.
Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?
Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:
"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."
Kwamba vita ni rasilimali ziwe za kwako au za kupewa kwani nani asiyejua?
Marekani keshasema hakuna vita mashariki ya kati.
Israel somo kaelewa.
Iran naye bila shaka katambua:
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada!