PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Usismsumbue tena Bwana Utam jataki tena kusikia breaking newz ya Iran ambazo kila akitoa basi ni breaking news ya onyo😅Wewe huoni hapo kwenye wawili hao kila mmoja kayaagiza na mwingine hadi ya kuazima.
Wawili hao hawachekani. Kwani kwa wawili hao yupi anakohoa Amerika akikohoa?
Kwani wawili hao yupi anapigana wapi na silaha au teknolojia chapa yake?
Ama kwa hakika kwamba katika wawili hao mmoja ni mchokozi mwenye kutegemea kulelewa, huyo ndiye mchumba sasa.
Ama kweli labda heri huyu mwenye kujikakamua angalau kuyanunua kwa pesa zake za ndani.
Au nasema uongo Bwana Utam ?