Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

Kama maji yako msikitini kila.mahali why unatumia maji ya zamzam Maalim?

Maji ya zamzam utayapata kule msikiti wa Makkah na Madina ni bure .

Maji ya zamzam ni dawa kwani yako pure

Jamaa kayaingiza airport Sweden yakaenda kuchunguzwa , hao wachunguzaji wameshangazwa maji ya ajabu sana , hawajawahi kuyaona

View attachment 3064515
Nimefurahishwa sana na jibu lako.Kuna tofauti gani kati ya maji ya Mwamposa na maji ya zamzam?
Hata huku mbagala Waislam wengi wanatumia maji ya Mwamposa nao wanasema yanafungua biashara zao na kuwaponya
 
Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.

Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?

Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:

"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."

Kwamba vita ni rasilimali ziwe za kwako au za kupewa kwani na asiyejua?

View attachment 3064405

Marekani keshasema hakuna vita mashariki ya kati.

Israel somo kaelewa.

Iran naye bila shaka katambua:

View attachment 3064423

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada!
Marekani na Israel nani anaye wamuni wote waongo, vita lazima ipo na Israel lazima apigwe tu. US na Israel wanaomba Iran ampige kidogo eti na yule msemaji wa jeshi la Israel kasema Iran atapiga kidogo tu 😄 Sijui wameisha honga huko ili wasipigwe
 
kivipi???em fafanua kama wenzio wanavyofafanua umuhimu wa USA kwa waisrael
Viongozi wengi wa Marekani ni wayahudi wakiwemo Us secretary Blinken, mgombea mwenza wa wa Trump na kadhalika.

Hali kadhalika matajiri wengi, wanasayansi, wanasiasa na wengine wengi Marekani ni wayahudi. Kiufupi uchumi wa Marekani upo mikononi mwa wayahudi. Hata kama inauma ipokee ilivyo 🤣
 
Hakuna maua hao.

Kwa kutumia rasilimali za Marekani?

Hiyo mbona yeyote atafanyiza lolote?

Bila Marekani Israel ni wachumba kama wa maafande tu.
Nyie jihadists haohao kesho tena mtasema Marekani hana lolote kwa ujumla mnachekesha sana.
 
Marekani na Israel nani anaye wamuni wote waongo, vita lazima ipo na Israel lazima apigwe tu. US na Israel wanaomba Iran ampige kidogo eti na yule msemaji wa jeshi la Israel kasema Iran atapiga kidogo tu 😄 Sijui wameisha honga huko ili wasipigwe
Mmeanza uswahili tayari. Iran ameangalia "The Pros and Cons" za kuishambulia Israel na tayari ameshapata jibu kwani "The balance is tilted against her."
 
Mmeanza uswahili tayari. Iran ameangalia "The Pros and Cons" za kuishambulia Israel na tayari ameshapata jibu kwa "The balance is tilted against her."

Umeanza myahudi wa uwanja wa fisi ?? Mmarekani wiki nzima anahaha kuwabembeleza washirika wake UAE, Qatar, Saudi arabia , Egypt , Oman wazungumze na Iran asimshambulie Muisraeli ,

Muirani amekaa kimya wasiwasi mtupu huko israeli mpaka maji yameanza kugaiwa kwa ration huruhusiwi kununua zaidi ya chupa 6 tu
Ndege zimeahirisha safari , raia wa nje kuondoka

Wewe unapiga debe wenzako wasiwasi mtupu hawajui ni wakati gani kitawaka
 
Mmeanza uswahili tayari. Iran ameangalia "The Pros and Cons" za kuishambulia Israel na tayari ameshapata jibu kwa "The balance is tilted against her."
We kwa tarabu na maneno ya kanga haujambo.
 
MOSSAD wapewe maua yao kwa kuweza kusaka na kuua magaidi ndani ya ardhi ya adui wao mkubwa Iran
Sasa wamemuua mpenda suluhu Haniyeh karithiwa na mpenda vita Sinwar huu ni ujinga pro max na bado wanasubiriwa kuzabuliwa na missile kutoka iran na lebanon intelligence agency inayoiletea taifa maafa zaidi ni intelligence agency famba kwelikweli.
 
Sasa wamemuua mpenda suluhu Haniyeh karithiwa na mpenda vita Sinwar huu ni ujinga pro max na bado wanasubiriwa kuzabuliwa na missile kutoka iran na lebanon intelligence agency inayoiketea taifa maafa zaidi ni intelligence agency famba kwelikweli.
Hakuna gaidi mpenda suluhu.
Baada ya Oct 7 Netanyahu aliapa kuwasaka magaidi popote pale na kuwaangamiza.
 
Tafauti ipo kubwa tena sana , maji ya mwamposa anajua mwenyewe anakoyapata

View: https://www.youtube.com/shorts/xnAMZEl3Z8s?feature=share

Ndugu yangu hayo maji yakifanyiwa analysis maabara yana compounds za maji na wala hayana maajabu yeyote.Kinachoyafanya hayo maji ya zamzam na ya mwamposa yawe na thamani hizo ni intrinsic value ya kiimani iliyokuwa attached kwenye maji hayo.Waweza tengenezea pombe,waweza chambia,waweza kunywa kama namna unavyoyatumia maji mengine.
Hizo benefits unazozionesha hapo ni myth tu broo.
As long as unatumia maji ya zamzam huna tofauti na vitukuu vya Mwamposa sema haya yanatokea uarabuni na mengine Kawe.
Na ukiangalia kwa undani,matumizi ya maji haya yanafanana
 
Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.

Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?

Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:

"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."

Kwamba vita ni rasilimali ziwe za kwako au za kupewa kwani na asiyejua?

View attachment 3064405

Marekani keshasema hakuna vita mashariki ya kati.

Israel somo kaelewa.

Iran naye bila shaka katambua:

View attachment 3064423

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada!
Wameagiza hayo machumachuma kwa ajili ya kujengea mabanda ya Nguruwe
 
Sasa wamemuua mpenda suluhu Haniyeh karithiwa na mpenda vita Sinwar huu ni ujinga pro max na bado wanasubiriwa kuzabuliwa na missile kutoka iran na lebanon intelligence agency inayoiketea taifa maafa zaidi ni intelligence agency famba kwelikweli.
Hivi unategemea Sinwar aache kuendelea kuchimba shimo kwenda chini eti aanze kuwasiliana na hao aliowageuza akili, kwani haogopi kufa
 
Hakuna maua hao.

Kwa kutumia rasilimali za Marekani?

Hiyo mbona yeyote atafanyiza lolote?

Bila Marekani Israel ni wachumba kama wa maafande tu.
Kwa jeuri ya USA bado Ukraine kamdindia Russia.
Kwamba, nje ya dola ccm ni wachumba si ndiyo?.
 
Wameagiza hayo machumachuma kwa ajili ya kujengea mabanda ya Nguruwe

Wewe huoni hapo kwenye wawili hao kila mmoja kayaagiza na mwingine hadi ya kuazima.

Wawili hao hawachekani. Kwani kwa wawili hao yupi anakohoa Amerika akikohoa?

Kwani wawili hao yupi anapigana wapi na silaha au teknolojia chapa yake?

Ama kwa hakika kwamba katika wawili hao mmoja ni mchokozi mwenye kutegemea kulelewa, huyo ndiye mchumba sasa.

Ama kweli labda heri huyu mwenye kujikakamua angalau kuyanunua kwa pesa zake za ndani.

Au nasema uongo Bwana Utam, Ritz, FaizaFoxy, , @malaria 2, @ustaadh tongwe, @johnthebaptist na wale wachukizwa dhulma wenzangu ?
 
Back
Top Bottom