Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

MOSSAD wapewe maua yao kwa kuweza kusaka na kuua magaidi ndani ya ardhi ya adui wao mkubwa Iran
Wanarusha Hawa watu.....Iran hajielewi kabisa na Nina Imani Hana taasisi nzuri ya ujasusi.....na kikubwa ni kwamba inaonekana MOSSAD ni wengi sana Iran
 
Kwa hiyo Oct 7 ilikuwa je? Au ni wachache zaidi Israel?
 
Wanarusha Hawa watu.....Iran hajielewi kabisa na Nina Imani Hana taasisi nzuri ya ujasusi.....na kikubwa ni kwamba inaonekana MOSSAD ni wengi sana Iran
Mossad agents wako karibu kila nchi hapo Middle East, Hasa Iran ambao kwa sasa hivi ni adui wao number moja
 
Hivi unategemea Sinwar aache kuendelea kuchimba shimo kwenda chini eti aanze kuwasiliana na hao aliowageuza akili, kwani haogopi kufa
Angekuwa anaogopa kufa angefanya alichofanya oktoba 7 ,angezipiga nao na kuwekwa jela na hukumu ya miaka 450 hawa ni freedom fighter yaani wako tayari kuscrifice wao for better ya watu wao.
 
Hakuna gaidi mpenda suluhu.
Baada ya Oct 7 Netanyahu aliapa kuwasaka magaidi popote pale na kuwaangamiza.
Hata Mandela wazungu walimuita gaidi hata baba wa taifa aliitwa gaidi tatizo ni kuwa katika upande usio wa haki hio ni insult na usaliti kwa akili zako timamu
 
Huwezi kumlinganisha mandela na wale wendawazimu makatili.
Walichofanya Oct 7 ni zaidi ya ugaidi.
 
Kwa hiyo Mandela kuwasupport hawa jamaa yeye alikuwa mjinga yaani ukichagua kuwa baridi au moto chagua kimoja sio kuwa vuguvugu huwezi ukampenda Mandela na ukavhukia Apartheid halafu ukaipenda Israel ambayo ni taifa pekee lilisupport kaburu wa south kwa nguvu zote.
 
Mandela alikuwa supporter wa Hamas?!
 
Angekuwa anaogopa kufa angefanya alichofanya oktoba 7 ,angezipiga nao na kuwekwa jela na hukumu ya miaka 450 hawa ni freedom fighter yaani wako tayari kuscrifice wao for better ya watu wao.
Ni gaidi aliejificha kwenye kichaka cha u freedom fighter
 
Wanarusha Hawa watu.....Iran hajielewi kabisa na Nina Imani Hana taasisi nzuri ya ujasusi.....na kikubwa ni kwamba inaonekana MOSSAD ni wengi sana Iran
Iran yupo overated sana tu of course kwa ulimwengu wa kishetani huyo ndo mkombozi wao na anawezeshwa na lile taifa lingine la kishetani yaani russia.
Mossad Iran ni nyumbani kwao pia Iran ipo uchi mbele ya Israel.
Iran kaanza hizo proxy war zake miaka mingi sana cha kuchekesha hajaweza rudisha hata 1mm ya ardhi kwa wapalestina. Ndo maana nchi kama Jordan shobo na Israel hataki na anaruhusu vizuri sana Israel kuitumia ardhi yake kumtwanga Iran.
Ulimwengu wa leo machumachuma pekee hayasaidii kushinda vita if huna intelijensia ya maana na ndipo Israel anapowapiga bao hao jihadist maana anaua viongozi wao anavyotaka anaamua leo namuua Haniya na mpenzi wake bodigadi kesho anamuua mwingine.
 
Acha uzuzu basi ilichokuwa inapambania fatah na inachopambania hamas tofauti yake ni nini ???
Ngoja niweke hivi wote ni magaidi. Ila hamas wamekubuhu.
Wanafanya ugaidi halafu wanatumia raia kama kinga kwenye uwanja wa mapambano
 
Back
Top Bottom