MOSSAD wapewe maua yao kwa kuweza kusaka na kuua magaidi ndani ya ardhi ya adui wao mkubwa Iran
Elewa pia bila wayahudi hakuna Marekani imara
Elewa pia bila wayahudi hakuna Marekani imara
Maji ya zamzam huwa.mnapewa bure?
Maji ya zamzam huwa.mnapewa bure?
Nimekuuliza swali maalimKwani huelewi ??
kwani hayo ni ya zamzam ??
Nimekuuliza swali maalim
kivipi???em fafanua kama wenzio wanavyofafanua umuhimu wa USA kwa waisraelElewa pia bila wayahudi hakuna Marekani imara
Unajifariji tu ila uwezo wa Israel kwenye medani ya kijeshi na intelejensia upo juu sana. Wameweza kuprove mara nyingi sana. Historia inajielezamaua hao.
Kwa kutumia rasilimali za Marekani?
Hiyo mbona yeyote atafanyiza lolote?
Bila Marekani Israel ni wachumba kama wa maafande tu.
Maji ya zamzam🤣🤣🤣Maji ya zamzam huwa.mnapewa bure?
Unajifariji tu ila uwezo wa Israel kwenye medani ya kijeshi na intelejensia upo juu sana. Wameweza kuprove mara nyingi sana. Historia inajieleza
Kama maji yako msikitini kila.mahali why unatumia maji ya zamzam Maalim?Ukienda msikitini maji yako kila mahali unajichotea utakayo
sasa mimi nakuuliza hayo anyouza mchungaji ni maji ya zamzam ??
kivipi???em fafanua kama wenzio wanavyofafanua umuhimu wa USA kwa waisrael