Kama maji yako msikitini kila.mahali why unatumia maji ya zamzam Maalim?
Unajifariji tu ila uwezo wa Israel kwenye medani ya kijeshi na intelejensia upo juu sana. Wameweza kuprove mara nyingi sana. Historia inajieleza
Nimefurahishwa sana na jibu lako.Kuna tofauti gani kati ya maji ya Mwamposa na maji ya zamzam?Maji ya zamzam utayapata kule msikiti wa Makkah na Madina ni bure .
Maji ya zamzam ni dawa kwani yako pure
Jamaa kayaingiza airport Sweden yakaenda kuchunguzwa , hao wachunguzaji wameshangazwa maji ya ajabu sana , hawajawahi kuyaona
View attachment 3064515
Marekani na Israel nani anaye wamuni wote waongo, vita lazima ipo na Israel lazima apigwe tu. US na Israel wanaomba Iran ampige kidogo eti na yule msemaji wa jeshi la Israel kasema Iran atapiga kidogo tu 😄 Sijui wameisha honga huko ili wasipigweNi bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.
Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?
Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:
"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."
Kwamba vita ni rasilimali ziwe za kwako au za kupewa kwani na asiyejua?
View attachment 3064405
Marekani keshasema hakuna vita mashariki ya kati.
Israel somo kaelewa.
Iran naye bila shaka katambua:
View attachment 3064423
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada!
Viongozi wengi wa Marekani ni wayahudi wakiwemo Us secretary Blinken, mgombea mwenza wa wa Trump na kadhalika.kivipi???em fafanua kama wenzio wanavyofafanua umuhimu wa USA kwa waisrael
Nyie jihadists haohao kesho tena mtasema Marekani hana lolote kwa ujumla mnachekesha sana.Hakuna maua hao.
Kwa kutumia rasilimali za Marekani?
Hiyo mbona yeyote atafanyiza lolote?
Bila Marekani Israel ni wachumba kama wa maafande tu.
Mmeanza uswahili tayari. Iran ameangalia "The Pros and Cons" za kuishambulia Israel na tayari ameshapata jibu kwani "The balance is tilted against her."Marekani na Israel nani anaye wamuni wote waongo, vita lazima ipo na Israel lazima apigwe tu. US na Israel wanaomba Iran ampige kidogo eti na yule msemaji wa jeshi la Israel kasema Iran atapiga kidogo tu 😄 Sijui wameisha honga huko ili wasipigwe
Nimefurahishwa sana na jibu lako.Kuna tofauti gani kati ya maji ya Mwamposa na maji ya zamzam?
Hata huku mbagala Waislam wengi wanatumia maji ya Mwamposa nao wanasema yanafungua biashara zao na kuwaponya
Nyie jihadists haohao kesho tena mtasema Marekani hana lolote kwa ujumla mnachekesha sana.
Mmeanza uswahili tayari. Iran ameangalia "The Pros and Cons" za kuishambulia Israel na tayari ameshapata jibu kwa "The balance is tilted against her."
We kwa tarabu na maneno ya kanga haujambo.Mmeanza uswahili tayari. Iran ameangalia "The Pros and Cons" za kuishambulia Israel na tayari ameshapata jibu kwa "The balance is tilted against her."
Sasa wamemuua mpenda suluhu Haniyeh karithiwa na mpenda vita Sinwar huu ni ujinga pro max na bado wanasubiriwa kuzabuliwa na missile kutoka iran na lebanon intelligence agency inayoiletea taifa maafa zaidi ni intelligence agency famba kwelikweli.MOSSAD wapewe maua yao kwa kuweza kusaka na kuua magaidi ndani ya ardhi ya adui wao mkubwa Iran
Hakuna gaidi mpenda suluhu.Sasa wamemuua mpenda suluhu Haniyeh karithiwa na mpenda vita Sinwar huu ni ujinga pro max na bado wanasubiriwa kuzabuliwa na missile kutoka iran na lebanon intelligence agency inayoiketea taifa maafa zaidi ni intelligence agency famba kwelikweli.
Ndugu yangu hayo maji yakifanyiwa analysis maabara yana compounds za maji na wala hayana maajabu yeyote.Kinachoyafanya hayo maji ya zamzam na ya mwamposa yawe na thamani hizo ni intrinsic value ya kiimani iliyokuwa attached kwenye maji hayo.Waweza tengenezea pombe,waweza chambia,waweza kunywa kama namna unavyoyatumia maji mengine.Tafauti ipo kubwa tena sana , maji ya mwamposa anajua mwenyewe anakoyapata
View: https://www.youtube.com/shorts/xnAMZEl3Z8s?feature=share
Wameagiza hayo machumachuma kwa ajili ya kujengea mabanda ya NguruweNi bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu.
Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine?
Kwa hakika Gen Z wamepata funzo:
"Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha."
Kwamba vita ni rasilimali ziwe za kwako au za kupewa kwani na asiyejua?
View attachment 3064405
Marekani keshasema hakuna vita mashariki ya kati.
Israel somo kaelewa.
Iran naye bila shaka katambua:
View attachment 3064423
Ng'ombe hanenepi siku ya mnada!
Hivi unategemea Sinwar aache kuendelea kuchimba shimo kwenda chini eti aanze kuwasiliana na hao aliowageuza akili, kwani haogopi kufaSasa wamemuua mpenda suluhu Haniyeh karithiwa na mpenda vita Sinwar huu ni ujinga pro max na bado wanasubiriwa kuzabuliwa na missile kutoka iran na lebanon intelligence agency inayoiketea taifa maafa zaidi ni intelligence agency famba kwelikweli.
Kwa jeuri ya USA bado Ukraine kamdindia Russia.Hakuna maua hao.
Kwa kutumia rasilimali za Marekani?
Hiyo mbona yeyote atafanyiza lolote?
Bila Marekani Israel ni wachumba kama wa maafande tu.
Wameagiza hayo machumachuma kwa ajili ya kujengea mabanda ya Nguruwe