Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Tembea na njia yako maisha hayana fomula moja.Hata selewii nifanye nn??
Unawe, ukajenga mapema nyumba ikabomolewa na TANROADS au TANESCO au ikabomolewa na majanga ya asili.
La muhimu ni uhai tu haya mengjne huwa yanaamuliwa na wakati tu