Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Asante tyr ameshafanyiwa na atatoka keshoscrotal hernia , umbilical hernia
itakua ni Moja wapo kati ya hizo mpeleke hospital
Asante tyr ameshafanyiwa na atatoka keshoscrotal hernia , umbilical hernia
itakua ni Moja wapo kati ya hizo mpeleke hospital
Apone harakaAsante tyr ameshafanyiwa na atatoka kesho
Acha tu mangi, watu wanachukua nyumba nzima, vyumba vitatu, kodi mpaka 1m per month, watoto shule za mabasi, kila mmoja 3-5m p/y. Kama hukujenga kabla mtihani mzito huo
Tatizo wabongo wengi hawana "exposure", hio ni nyumba mkuu, kwa tuliosafiri nyumba za bongo watu wanazijenga kwa bei kubwa sana kuliko vipato na matumizi yake na wanatumia eneo kubwa sana. Nyumba ni nyumba mkuu hongera.Kwangu mimi nyumba ya mil 50 ni nyumba mkuu,siyo kibanda..ila kwenu nyie mlio jipata ni kibanda mkuu.