Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha

Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha

Watanzania wengi wana hangaika sana kusomesha watoto aise,

Yani mtu unakuta amekondeana ana mawazo muda wote amekunjamana sura kisa stress zaa watoto kwenye shule za kulipia,
Ukipiga hesabu hawa watoto mpaka ana maliza darasa la saba anakula zaidi ya 20 milioni ukiwa na wawili ni 40.

Njoo uone elimu yenyewe wanayoipata sasa huko shule sasa.

Alafu sasa mahangaiko yote mtoto akimaliza chuo anarudi kukaa nyumbani mwishowe hata alichokisomea anakitupa kapuni.


Ushauri wangu kama unaweza kumsomesha mtoto shule za kawaida za selikali kisha hayo mamilioni na malaki unayotumia kumlipia ada mfungulie account uwe unazitupia huko akimaliza form 4 atakutana nazo aanzishe hata mradi chini ya usiamizi wako mzazi.

Kiukweli ukiona maisha wanayoishi wazazi na mamilioni wanayotoa kwenye elimu na matokeo ya elimu yenyewe unaishia kusikitika tu.
 
Kwa ambao bado hamjaoa zingatia hili....
Unajenga kwa nguvu zako,unaoa kwa mahari yako,mnazaa hao watoto na mnawasomesha pamoja halafu mwisho mnaachana na mnagawana kile ulichotafuta kwa nguvu zako....

Achana na kujenga!!! Kula bata,tembea sehem mbalimbali,nunua malaya,kula bangi,pombe sio sana,saidia watu....
Halafu ukimpata huyo wa kuzaa nae hao watoto wa kusomesha hapo ndo muanze kusota pamoja kujenga...
Hakuna fala skuiz kama ukijenga jenga na usiowe,jenga kwa ajili yako na wanao watakao lelewa na singo maza..vinginevyo YOU ARE TOTALLY FUCKED...
Huu UPUMBAVU zungumzia Imani yako ndugu,kwenye UISLAM ipo wazi,utaingia kama ulivotoka
 
Sahihi kabisa mjukuu, wala sikupingi. Ila kuna wakati life doesn't give you what you want, that's when you think the world is crushing on you, it's like umeibeba dunia peke yako.
Ndio babu kuna mda life linakupa mkong'oto hapo utaona kila kitu kama kinakufokea😂😂
 
Back
Top Bottom