Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha

Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha

Sahihi kabisa mkuu..umeongea vyema kabisa.
Mimi nina kamradi fulani mtaani huko, sasa kuna sponsors wakaja wanataka kunipa 50m niboreshe nnachokifanya kwa sababu kina support pia utunzaji wa mazingira-interest free, 5 yrs repayment plan. Nikachukua mpunga nikaboresha kama tulivyokubaliana. Nimeimprove sana.....sasa hapa ndio nawaza kujenga kuanzia mwakani hata presha sina.
Hela si inaingia banah.
Kuna ndugu zangu wa mtaani niliwashirikisha, wakasema ooh ungechukua nusu ujenge nusu ufanyie huo mradi. Nikawaambia nyie hamjui yaliyopo kichwani mwangu-hiki mnachokiona leo (mandhari kupendeza) ndicho nilikua nakiwaza. One of the sources of business ideas is your HOBBIES and INTERESTS.

Wanashangaa tu, mie kwa week nafunga hesabu ya mil 1+(after costs) ni kamradi kadogo tu.
 
Kuna ndugu zangu wa mtaani niliwashirikisha, wakasema ooh ungechukua nusu ujenge nusu ufanyie huo mradi. Nikawaambia nyie hamjui yaliyopo kichwani mwangu-hiki mnachokiona leo (mandhari kupendeza) ndicho nilikua nakiwaza. One of the sources of business ideas is your HOBBIE and INTERESTS.

Wanashangaa tu, mie kwa week nafunga hesabu ya mil 1+(after costs) ni kamradi kadogo tu.
Jambo jema sana mkuu umefanya. Baadae watakuelewa.
 
Mimi nina kamradi fulani mtaani huko, sasa kuna sponsors wakaja wanataka kunipa 50m niboreshe nnachokifanya kwa sababu kina support pia utunzaji wa mazingira-interest free, 5 yrs repayment plan. Nikachukua mpunga nikaboresha kama tulivyokubaliana. Nimeimprove sana.....sasa hapa ndio nawaza kujenga kuanzia mwakani hata presha sina.
Hela si inaingia banah.
Kuna ndugu zangu wa mtaani niliwashirikisha, wakasema ooh ungechukua nusu ujenge nusu ufanyie huo mradi. Nikawaambia nyie hamjui yaliyopo kichwani mwangu-hiki mnachokiona leo (mandhari kupendeza) ndicho nilikua nakiwaza. One of the sources of business ideas is your HOBBIES and INTERESTS.

Wanashangaa tu, mie kwa week nafunga hesabu ya mil 1+(after costs) ni kamradi kadogo tu.
Hakikisha una plot au ardhi za kutosha

Ardhi kwa Sasa ndo muhimu zaidi kwakuwa inapanda thaman kwa Kasi sana
 
Kinyonge sana , ila kwa kipato kidogo na majukumu ya familia kuwa na nyumba binafsi ina saidia sana, kuwa comfortable na kufanya mambo mengine kwa utulivu zaidi
Kule juu niliandika hivi,jambo la kwanza lianze kwenye uhuru wa kifedha...unaweza kuishi popote ama kujenga nyumba ya Aina yoyote unayo itaka.
 
Mkuu biashara sio ya kila mtu! Si bora anaejenga akikwama atauza
Imagine mkopo wote umetia kwenye biashara halfu imepepea 😃
Shida ni mawazo mkuu, mku kakopa karibia 30m kaenda kujenga. Hajafungua hata duka la mil 2. Mimi siwezi kukopa nikajenge aisee! Bora nikafungue genge
ra
 
😂😂😂 noma sana unapata hela ya bati charii anataka school fees

Mipango ya Maisha haifanani.

Ila nawashauri wadogo zangu wa 20-25 yrs.
Weken mipango ya Miaka 10 kumi mbele. Na mfanye juhudi kuyatimiza.

Ushauri wangu. Ndan ya Miaka kum ya mwanzo.
Nina Maanisha kabla hujafika 35.
Basi Uwe na kazi /biashara Halali/kipato, Umeshaoa/kuolewa, una watoto/mtoto, una Kiwanja/au Nyumba, una magar mawil /au moja au pikpik binafsi.

Alaf sasa ndio Upange Miaka 10 mingne(biashara, kusomesha, asset ya viwanja atleast viwil na ukijaliwa unaanza nyumba ya pil mdogo mdogo )
35-45.
Niamin. Ukifika 45 una kuwa ushaset mambo yako meng mazur na utaishi poa.

Ukiskip Na usipopanga Maisha yako vizur ukiwa kwenye hiki kipind cha miaka 20-45.
Bro. Maisha yatakuwa magumu sana huko mbelen.
wanaosema "Life Begins at 40" wana maanisha kwenye Miaka hiyo uwe unajitosheleza Kwa kila kitu na kusaidia Wanaokutegemea( watoto wako na wazazi wako).
Ni kipind kigumu kama kikikukuta haujajipanga.

Ukiwa mzembe na mvivu pind ukiwa kijana, Utajuta ukiwa uzeeni.
(Kama uwezo wako wa kujenga nyumba ya vyumba viwili. Jenga. Maana ndio nyumba yako ya kwanza) hatufanani vipato. Ila mipango iwe sahihi.
 
Back
Top Bottom