The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Ushamba mkubwa sana,wenzetu huko wanafanya hivyo ili barafu iweze kushuka kirahisi wakati wa baridi kali ,sasa hii ngozi ikaona kwamba ni fashionNaunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri🤔View attachment 3572653