G
guest-1793599959
Guest
Uhuru wa kifedha ni kila kitu mkuu.Kuna mambo yanatugusa moja kwa moja mjukuu. Watu wana watoto kadhaa, wote wanaenda shule na bado wapo wanapanga..sio mchezo!!
Uhuru wa kifedha ni kila kitu mkuu.Kuna mambo yanatugusa moja kwa moja mjukuu. Watu wana watoto kadhaa, wote wanaenda shule na bado wapo wanapanga..sio mchezo!!
Angesisitiza umuhimu wa kuwa na kipato imara mkuu..alicho fanya ni generalization as if kila mtu nyumba ndo mafanikio..Gen Z walioanza kazi hawatakuelewa maana wanataka wanunue Altezza ,Crown ,CX5 ,X3.
Angesisitiza umuhimu wa kuwa na kipato imara mkuu..alicho fanya ni generalization as if kila mtu nyumba ndo mafanikio..Gen Z walioanza kazi hawatakuelewa maana wanataka wanunue Altezza ,Crown ,CX5 ,X3.
Huu ni ukweli, kuna fala mmoja wa mabaka mabaka wale-mwenyewe alikua anasoma anatafuta certificate na diploma, mdogo wake anamsomeaha yeye, nyumbani ana familia ya mke, watoto 2, dada wa kazi, dada wa mke, mdogo wake na yeye mwenyewe. Mshahara kakopea.......manina siku zingine nauli ya kwenda job hana. Maisha haya.Wazee sina cha kuwa elezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
Kijana mbona unapotosha wenzako? Unanufaika na nini? nani anae watuma?Kwa ambao bado hamjaoa zingatia hili....
Unajenga kwa nguvu zako,unaoa kwa mahari yako,mnazaa hao watoto na mnawasomesha pamoja halafu mwisho mnaachana na mnagawana kile ulichotafuta kwa nguvu zako....
Achana na kujenga!!! Kula bata,tembea sehem mbalimbali,nunua malaya,kula bangi,pombe sio sana,saidia watu....
Halafu ukimpata huyo wa kuzaa nae hao watoto wa kusomesha hapo ndo muanze kusota pamoja kujenga...
Hakuna fala skuiz kama ukijenga jenga na usiowe,jenga kwa ajili yako na wanao watakao lelewa na singo maza..vinginevyo YOU ARE TOTALLY FUCKED...
Hizo shule nzuri huwa ni zipi?Angesisitiza umuhimu wa kuwa na kipato imara mkuu..alicho fanya ni generalization as if kila mtu nyumba ndo mafanikio..
Mfano nina jamaa angu analipia kodi ya nyumba laki 5 kwa mwezi na anatembelea Range...ana watoto wawili wanasoma shule nzuri tu na ana biashara yake.
Tusikaririshane wazee,
Kwa nini unataka kugoma kujenga kijana?Angesisitiza umuhimu wa kuwa na kipato imara mkuu..alicho fanya ni generalization as if kila mtu nyumba ndo mafanikio..
Mfano nina jamaa angu analipia kodi ya nyumba laki 5 kwa mwezi na anatembelea Range...ana watoto wawili wanasoma shule nzuri tu na ana biashara yake.
Tusikaririshane wazee,
Hakuna kudinya for 6 monthsNi upasuaji wa wiki chache tu unakaa poa , madhara ni mara chache mno na inategemea na daktari na wewe utalea vipi kidonda mpka kipone kwa kufuata ushauri wa daktari
Kwa nini asiongeze vyanzo vya ziada vya mapato?? Idea za kimaskini sana hizi.Huu ni ukweli, kuna fala mmoja wa mabaka mabaka wale-mwenyewe alikua anasoma anatafuta certificate na diploma, mdogo wake anamsomeaha yeye, nyumbani ana familia ya mke, watoto 2, dada wa kazi, dada wa mke, mdogo wake na yeye mwenyewe. Mshahara kakopea.......manina siku zingine nauli ya kwenda job hana. Maisha haya.
Kiukweli, unatakiwa uwe na jengo lako ambamo hulipi kodi. Kisha somesha watoto wako. Otherwise maji utaita mma.
Kodi ya nyumba mil 3 kwa mwaka, ada ya wanao mil 3 kwa mwaka. Mshahara net laki 8 lazima uimbe haleluya
Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
Shida ni mawazo mkuu, mku kakopa karibia 30m kaenda kujenga. Hajafungua hata duka la mil 2. Mimi siwezi kukopa nikajenge aisee! Bora nikafungue gengeKwa nini asiongeze vyanzo vya ziada vya mapato?? Idea za kimaskini sana hizi.
Hahaa,mi nmejenga mkuu..lakini sioni kama ni mafanikio kulingana na ukubwa wa malengo yangu niliyo jiwekea.Kwa nini unataka kugoma kujenga kijana?
Aisee,sijui ni nani aliwapa watu hii mentality ya kuwaza kujenga tu badala ya kuongeza vyanzo vya mapato..ndo maana wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi wanapiga sana hela...kila mtumishi anaye anza kazi..anachowaza ni kukopa na kujengaShida ni mawazo mkuu, mku kakopa karibia 30m kaenda kujenga. Hajafungua hata duka la mil 2. Mimi siwezi kukopa nikajenge aisee! Bora nikafungue genge
Unajua nini, hapa Bongo mkakati wa watu wengi ni unasoma unapata kazi, unaoa, unajenga, unasomesha, unanunua gari basi ukiena kijijini kwenu una gari yako. Unaonekana umeyapatia sana maisha.Hahaa,mi nmejenga mkuu..lakini sioni kama ni mafanikio kulingana na ukubwa wa malengo yangu niliyo jiwekea.
Sahihi kabisa mkuu..umeongea vyema kabisa.Unajua nini, hapa Bongo mkakati wa watu wengi ni unasoma unapata kazi, unaoa, unajenga, unasomesha, unanunua gari basi ukiena kijijini kwenu una gari yako. Unaonekana umeyapatia sana maisha.
Wengi tunasahau kuwa hii hela niliyo nayo naikuzaje? Mfanyakazi lazima uwe na cashflow.....mshahara hadi mshahara ni mateso makubwa sana. Cashflow unaipataje?
Weka dogo kaka la moving items.......hili litacover mashimo yako na utajengea.
Sahihi kabisa mjukuu, wala sikupingi. Ila kuna wakati life doesn't give you what you want, that's when you think the world is crushing on you, it's like umeibeba dunia peke yako.Siwezi kusema walikosea kuzaa mapema au la nachujua babu dunia haina usawa cha muhimu kila mtu aishi kwa njia zake tu
Wakuoa aoeWakuzaa azae
Wa kula bata aleeeeeee sana
Wa kusali safiiii
Asie na dini poa tu
NB: Everyone should stay in their own lane 📌
Umejenga nyumba au kibanda Janja?Hahaa,mi nmejenga mkuu..lakini sioni kama ni mafanikio kulingana na ukubwa wa malengo yangu niliyo jiwekea.