Tembea na njia yako maisha hayana fomula moja.Hata selewii nifanye nn??
Hpn kuna kitu kinaniwazisha acha tuuUnataka kusema kila mada JF unaichukulia serious sana😁
NaaamTembea na njia yako maisha hayana fomula moja.
Unawe, ukajenga mapema nyumba ikabomolewa na TANROADS au TANESCO au ikabomolewa na majanga ya asili.
La muhimu ni uhai tu haya mengjne huwa yanaamuliwa na wakati tu
Pole sana hernia ndio ugonjwa gani au ndio mbupu?Hpn kuna kitu kinaniwazisha acha tuu
Nauliza ety hernia upasuaji wake unachukua muda gani na vipi inaweza leta madhara yoyote ?? min -me
Mbup ni scrotum, hernia ni ngiriPole sana hernia ndio ugonjwa gani au ndio mbupu?
Dada Ako ShesRise_1 sio mda...umenikumbusha enzi hizo tulitumia huu mtego kukamata njiwa
Operation ya kawaida tu haina madhara yoyote.Hpn kuna kitu kinaniwazisha acha tuu
Nauliza ety hernia upasuaji wake unachukua muda gani na vipi inaweza leta madhara yoyote ?? min -me
Ni upasuaji wa wiki chache tu unakaa poa , madhara ni mara chache mno na inategemea na daktari na wewe utalea vipi kidonda mpka kipone kwa kufuata ushauri wa daktariHpn kuna kitu kinaniwazisha acha tuu
Nauliza ety hernia upasuaji wake unachukua muda gani na vipi inaweza leta madhara yoyote ?? min -me
Sure , fasta tuOperation ya kawaida tu haina madhara yoyote.
Faida za nyumba hiyo ni kupunguza joto wakati wa jua kali,bati kudumu muda mrefu kwa sababu maji ya mvua yanamwagia yote kwa urahisi n.kNaunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri🤔View attachment 3572653
Kweli wewe unazimiliki mbupu na unazijua vilivyo asante kwa ufafanuziMbup ni scrotum, hernia ni ngiri
Kweli , nakutengeneza makazi ya panyaFriday za nyumba hiyo ni kupunguza motor wakati wa just kali,bati kudumu muda mrefu kwa sababu unsecured na maji ya mvua yanamwagia yote kwa urahisi n.k
Mtu aliyeenda toka saa kumi mpk sasa inakuwa bado 🤔Ni upasuaji wa wiki chache tu unakaa poa , madhara ni mara chache mno na inategemea na daktari na wewe utalea vipi kidonda mpka kipone kwa kufuata ushauri wa daktari
unamaanisha nn sikuelewiDada Ako ShesRise_1 sio mda...
Ooh kumbe AsanteOperation ya kawaida tu haina madhara yoyote.
Fuc yoooDada Ako ShesRise_1 sio mda...
Wale vijana wetu wawili wamefika darasa la ngapi?TOTALLY FUCKED
Anamanisha na mimi nitaingia kwenye huo mtego uli post hapo😂unamaanisha nn sikuelewi
Anataka kuconclude hivyo kwa watu wote,amezingua sana. Siyo kila mtu ana ugumu wa maisha kiasi hicho..watu wanajenga nyumba za maana na wanasomesha watoto hata watatu shule za pesa ndefu.Mifumo ya hela iko tofauti sana, usifanye conclusion kizembe
Sijui hata wako wapi manWale vijana wetu wawili wamefika darasa la ngapi?