Wilder kadondoshwa mara 2.
Ana bahati sana team yake imetupa taulo ulingoni.
Ur next AJ
Dah ngumi za kizazi hiki za kudokoa dokoa. Missed you mike iron Tyson.
Mashabiki wa Fury tukutane hapaPamoja na yote hayo black anadundwa vizuri sanaa,,tena KO
Wilder ana siku tatu ku-trigger rematch clause
Pambano la mwanzo Fury alilamba sakafu mara mbili sijui tatu lakin bado alitoa droo,leo kushinda mnashangaa kweli?? Wilder sio bondia mzur mnasema ila jamaa ni mnyama haswa,ni muuaji kabsa sema leo kapatiwa tyming kakalishwa. Kupigwa kwake leo sio kigezo cha sio bondia mzuri mtakua mnajilisha upepo
Sent using Jamii Forums mobile app
correction; Wilder hajawahi kumpiga furry, rekebisha hapo.View attachment 1366832
Furry ni best boxer zaid ya Wilder all the time. Sio leo tuu.
Wilder alimpiga Furry mara ya kwanza coz Furry alikuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miaka miwili.
Boxing sio mchezo wa kuvizia tuu na kurusha ngumi moja tuu nzito. Gipys King got skills and he shown that today
Counted knock down ni 2 mkuu.
Done mkuu.correction; Wilder hajawahi kumpiga furry, rekebisha hapo.
Nipo Shadeeya hapa naugulia maumivu.Hadi huku na wewe umo? Lol
Nafikiri "damage" aliyoipata kwenye sikio imechangia kwa kiasi kikubwa Wilder kubondwa, sikio lina kazi kubwa sana kwenye kufanya mtu uwe na "balance" nzuri.Ila ile ngumi ya sikio sio poa kabisa.Sikio linauma ndugu zangu.Halafu changanya na kelele zile