Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Pambano la mwanzo Fury alilamba sakafu mara mbili sijui tatu lakin bado alitoa droo,leo kushinda mnashangaa kweli?? Wilder sio bondia mzur mnasema ila jamaa ni mnyama haswa,ni muuaji kabsa sema leo kapatiwa tyming kakalishwa. Kupigwa kwake leo sio kigezo cha sio bondia mzuri mtakua mnajilisha upepo

Sent using Jamii Forums mobile app


Ucmfananishe tyson na huyo jamaa ako,,,level yake akina joshua but co Tyson


Huyo wilder level yake joshua,,,
 
Leo watu ni vicheko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1366832
Furry ni best boxer zaid ya Wilder all the time. Sio leo tuu.
Wilder alimpiga Furry mara ya kwanza coz Furry alikuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miaka miwili.

Boxing sio mchezo wa kuvizia tuu na kurusha ngumi moja tuu nzito. Gipys King got skills and he shown that today
correction; Wilder hajawahi kumpiga furry, rekebisha hapo.
 
Yaan leo wilder dunia ilikuwa against him picha linaanza kaingia uwanjani na mamask yake ya ajabu wamarekani wenzake wakamkataa watu wanapiga "boooo" za kutosha.
Round ya kwanza kala ya sikio balance yote kuleeeee amebaki anaweweseka atawaambia nn watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera bingwa[emoji847]
Screenshot_20200223-090403_1582438367516.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah jana nimecheka sana ningendako ujumbe wangu umefika nazani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom