Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

Tyson na uzee bado ukimwangalia huo mkono wake ni chuma hasa, unaweza jua waliomkuta akiwa kijana walikutana na mtiti gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia floyd ana ka jelous flani kwa wilder, hata mike tyson. wanapenda wao ndo waendelee kua great blackboxers
Mike Tyson lazima awe upande wa Furry

Wilder aliulizwa endapo angekutana na Tyson wa mwaka 1986 ingekuaje, Wilder kajibu Tyson ana bahati sana kutokukutana nae maana angemuua kabsa, sasa kwa conment kama hii unazan Tyson atakua upande wa wilder?

ONE CHAMPION

ONE FACE

ONE NAME



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa kabisa why fury kapewa odd zaidi
 
Inaonekana pambano hili litakua kali sana kama lile la mayweather na pacqao

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…